Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

Haha...
Hivyo kantriwize anakusingizia...?
Sijui sababu ya hii rejection, how i can recover from this rejection? inauma sana. Does it mean I'm worthless?
Najua I'm better off than to be with someone who doesn’t want to be with me. But i don't know how i keep a big stone on my heart and walk away from this rejection
Ila hawa ndio finally they hooked up with a guy whose main ambition was to sex na kupiga vizinga
 
Hi, gorgeous, how are you today? Please stop this rejection inaniuma, yes I'm physically stronger but emotionally much weaker and vulnerable to you
Yani wewe bana unatokea vaap kama upepo wa kiangazi😒😒
Leo upo kama haupo me sikutaki bana
 
Yes, she's queen of my heart and waiting eagerly to spend some quality time with her

Queen of your heart na husemi
Mie nshaambia ‘I want to start with you 2023’ tayar sasa
Labla tusubiri 2024 inshallah
 
sijutii naifurahia sana familia yangu...japo siku tegemea kama itakuwa ya furaha kwani mimi kabla sijawa na mtoto nilikuwa na principle yangu kuwa sitaki kabisa mtoto wangu akose malezi ya wazazi wawili...na sikuwa napenda nione mwanangu analelewa na baba mwingine hali ya kuwa baba yake nipo....hivyo huyu baby mama alipo pata mimba nikawa na uhakika kuwa ni yangu nikasema liwalo na liwe siwezi kuacha mwanangu alelewe na baba mwingine na mimi baba yake ningalipo...nikaoa kishingo upande...the last is story naifurahia familia yangu ya baba, mama na mtoto mmoja...na tunajipanga kuongeza mtoto mwingine...​
Wow
 
Queen of your heart na husemi
Mie nshaambia ‘I want to start with you 2023’ tayar sasa
Labla tusubiri 2024 inshallah
2024? No please, you deserve to be with somebody who makes you happy. Somebody who doesn't complicate your life. Somebody who won't hurt you. Remember that
 
Kama huyo ulimshindwa mimi ndio utanipeleka polisi aiseee😆😆😆 ni zaidi ya vuruguuuuu
Vita ni fita muraaaaa…
Tupeane hiyo vita mimi naitaka sana tu 😉😚❤️
 
Back
Top Bottom