Maisha yalivyo ni Bora ukibeba Mimba uzae tu kuliko kuitoa

Maisha yalivyo ni Bora ukibeba Mimba uzae tu kuliko kuitoa

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Jana nilibahatika kwenda kwa Dokta X aambaye kila Mtu nadhani anamjua anajinasibu kuwa anatibu Matatizo ya uzazi na hata Msanii mmoja ambaye yupo katika msiguano na Basata alishamfanyia Promo katika nyimbo kwenye upande wa video katika intro.

"Je utanipenda" I guess it was 2015

Mada yangu
Wateja niliowakuta 90% wanathibitisha kuwa wametoa Sana Mimba na hii imepelekea kukosa watoto.

Unfortunately kimuonekano wanaonekana kuchoka kimwili kiakili na kiroho wapo stressed na kuokoa Ndoa zao huku wakitafta Ujauzito usiku na Mchana.

Nyie wanawake Kama mgeyajua haya Mapema zile Mimba mlizotupa chooni mgekubari kuzaa tu Hata Kama Baba zao miyeyusho.

Sasa Mmefika 30+ huna mtoto huna Pesa huna Ndoa na umezeeka unakosa hata Mtu wa kukufariji (Comfort zone)

Wanaume Ni watu wenye Akili Sana wanasema hawapo tiyari kuoa single mothers but still wanaume baadhi wameoa single mothers so nanyie wanawake mnakimbilia kufanya abortion ili msikose kuolewa then mnakosa vyote Mtoto+Ndoa so ni juu yako pia njaa zinawaponza kwa kufikiria Utamlisha Nini mtoto na wewe utadanga vipi so unaua Kichanga then unaanza kuangaika kutafta Ujauzito Kwa Mwamposa mara kwa Dokta wa virutubisho it pain.

Badilikeni la sivyo mtachakazwa maana ukiingia tu 30+ kwisha habari yako.

Hizo Mimba mnazotupa chooni walai mtazikumbuka time will tell.

That All
 
Ok pole sana Mkuu ila uzi wangu nimewatageti watu wa Abortion tu mkuu
Turudi kwenye abortion.

If ni wewe assume this you are young and you want to test everything but when you try sex suddenly you are pregnant and your boyfriend still depend his parents to in everything even you.

What will you do and if you figuraout that your mama told you before i will kill you if you get pregnant.

And young lady doesnt have a place to depend on.

Tell me .

No food no shelter you must have an abortion to in order to survive.
It's not their fault
 
Turudi kwenye abortion.
If ni wewe assume this you are young and you want to test everything but when you try sex suddenly you are pregnant and your boyfriend still depend his parents to in everything even you.

What will you do and if you figuraout that your mama told you before i will kill you if you get pregnant .
And young lady doesnt have a place to depend on.
Tell me .

No food no shelter you must have an abortion to in order to survive.
It's not their fault
Ni mtu mjinga au Mzazi mjinga wa kumruhusu mwanae au binti yake afanye abortion na mwisho wa siku anakosa kabisa mtoto in his life- time.

Ukisema kuhusu kulea na kuishi sio kwel kwani Nani aliyejifungua akakosa Chakula na mtoto akafa kwa njaa?

Ili wewe upone au upate relief ya Maisha baada ya Ujauzito nikufanya Abortion?
How many girls wanamaisha mazuri deu to Abortion?

So siungi Mkono Abortion hata kwa dawa
It better give birth bila kujali what will happen In Future than doing an evil?

It Imposssible kwa Maisha haya ambayo huwezi kutabiri Kama Kesho utakuwa hupo au haupo then ufanye Abortion ili utafte unafuu wa Maisha ni mawazo ya Mtu Mjinga kutoa Mimba kwa kufikiria Kesho yake itakuwa nzuri kuliko Jana wakati Binadamu tangu kuumbwa kwake Hana huakika wa Kesho yake.
 
Wengi wanatoa Mimba ili wasiitwe single mother na yote haya Ni upepo tu wakifikiri kigezo Cha kuolewa Ni kutokuwa single mother so shame on them
 
Back
Top Bottom