Adimu
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 661
- 297
Zama zao sawa, zama hizi waaofika huko ni majaaliwaKuna shida gani??
Mungu atakuweka kwa ajili yake.
Mbona mimi baba yangu kaoa 45 na kafa miaka 98 years na kaona watu wameoa nakaona wajukuu na baadhi ya vitukuu sasa maisha hupangi wewe ni Mungu .
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app