Maisha yalivyo ni Bora ukibeba Mimba uzae tu kuliko kuitoa

Ila napata utata hapa!! Ulipofika kwa huyo Dr. Virutubisho, uliwezaje kuongea na wagonjwa wote hadi kufahamu wametoa mimba?
 
Hapa hamna sababu ya msingi kuua kichanga. Ni umalaya wenu tuu.
 
Haijalishi ni hali gani unapitia,,, lakini kutoa mimba sio jambo jema hata kidogo..
 
Kwa nini nyie mnaweka hamuoi ??
Umkatishie mtu starehe zake kisa vimbegu vyako siuzae na condom shenzi

Mkuu Liverpool VPN kila siku anasema maandiko yamesisitiza watu wazaliane na sio WAOANE,,, elewa hapo kwanza ndio tuendelee....

Ukiacha hayo, bado kuto-kuolewa sio sababu ya mtu kutoa mimba na akitoa haifanyi tuone amefanya Jambo sahihi... na swala la Starehe linabaki pale pale kwasababu mtu hawezi kuwa na mimba milele ni kipindi kifupi tu....

Vile vile mkuu kutumia Condom kunapunguza utamu,, haina tofauti na kupiga Nyeto.... ni bora Blow job kuliko kugegeda na ndom..

Ielewe ikuelewe.
 
Kutoa mimba ni dhambi, humtendei haki yule mtoto. Sema wengi huwa wanafikiria maisha yao tu kwa wkt huo, Hali wanazopitia kipindi icho. So sad, siwezi kuwalaumu.
 
Kwa mtazamo wangu,
Suala zima la.kupata mimba linahusisha vitu kobao kama hormones n.k.
Ni kweli kua wapo wanaotoa mimba tena nyingi tu na bado wanapata mimba, af kuna wale hata mimba hawajawahi kutoa na hawapati.
Sayansi ni pana juu ya hili.
Recently ukiangalia kwa kiwango kikubwa wengi wanaopata changamoto ya kutoshika mimba ni because ya mfumo wao wa maisha. Wengi wana hormonal imbalance due to vitu kama uzito mkubwa, kula vibaya, matumizi ya pombe n.k
My take ni kuwa, af mwanamke ana afya nzuri, b.m.i imekaa stable na ana mfumo mzuri wa maisha, in case akikosa mimba then hapo ni suala lingine la kiafya ambalo akienda hossy atapata ufumbuzi.
Na pia, tunapenda kulaumu wanawake sana, sometimes problem ni mwanaume. Unakuta mbegu anazo but zina walakini, sema jamii inapenda kumuangushia zigo mwanamke.
Tuamke!
 
Mtoto akifikisha miaka mitano anaanza darasa la kwanza wewe una miaka 50

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kuna shida gani??
Mungu atakuweka kwa ajili yake.
Mbona mimi baba yangu kaoa 45 na kafa miaka 98 years na kaona watu wameoa nakaona wajukuu na baadhi ya vitukuu sasa maisha hupangi wewe ni Mungu .
 
Ujumbe mzuri

Shukranii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…