Maisha yamekua magumu

Maisha yamekua magumu

kagombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
3,615
Reaction score
1,805
108ac300644780c65e3884f98910ef2c.jpg
 
Acha niwahi nafasi

[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
 
Ha ha ha ha
Subira lazima avute bangi tu hiyo haina ubishi sbb Bangi na Pombe ni mtu na ndugu yake.
Si unamuona mwenzake Pombe? Akishamaliza kuvuta bangi amtafute pombe
 
mm bado siamini katika Kauli hii..me bado naona pesa zipo tu, kwasisi tunaofanya kazi kwelikweli hela zipo aisee.

na wengine wachapa kazi Najua watanisapoti ila kwa wale wazee wa madili ni wakati wenu kutaabika

Mkuu mimi mwenyewe nilikua siamini kama wewe lakini kwasasa nimeamini baada ya kufikia leo tarehe 4/8 bila kuuona mshahara wa mwezi wa saba kweli hali nitete
 
ha ha ha... pole sana mkuu!! kumbe umeajiriwa? sorry nimekua mbinafsi kwa kujiwazia sisi madeiwaka tu.

nimeangalia kwa upande wa kwetu wauza vitumbua maana wateja tunao wengi daily.
 
hahahaha Subra amekuwa mtumia mihadarati!!!?
 
mm bado siamini katika Kauli hii..me bado naona pesa zipo tu, kwasisi tunaofanya kazi kwelikweli hela zipo aisee.

na wengine wachapa kazi Najua watanisapoti ila kwa wale wazee wa madili ni wakati wenu kutaabika
Pesa IPO. Na inakidhi mahitaji.
 
Pesa ipo.
Kama unafanyakazi utaiona tu. Mimi nina hela. Ila rafiki zangu siwezi kuwaambia kama nina hel a. Naogopa watanikopa.

Wakilalamika maisha ni magumu , nami nawaambia, ni kweli Magumu.

sent by Samson Cyper
 
Mlipoambiwa msome shule ili mje mpate ajira serikalini mliona kuwa waalimu na wazazi wanawaonea. Sasa ngoja muisome namba kwa kukimbia umande!
 
ha ha ha... pole sana mkuu!! kumbe umeajiriwa? sorry nimekua mbinafsi kwa kujiwazia sisi madeiwaka tu.

nimeangalia kwa upande wa kwetu wauza vitumbua maana wateja tunao wengi daily.
Kitumbua chako unauzia pande zipi?
 
mm bado siamini katika Kauli hii..me bado naona pesa zipo tu, kwasisi tunaofanya kazi kwelikweli hela zipo aisee.

na wengine wachapa kazi Najua watanisapoti ila kwa wale wazee wa madili ni wakati wenu kutaabika
Sawa doto ndugu wa magufuli tumekuskia
 
Back
Top Bottom