Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mm bado siamini katika Kauli hii..me bado naona pesa zipo tu, kwasisi tunaofanya kazi kwelikweli hela zipo aisee.
na wengine wachapa kazi Najua watanisapoti ila kwa wale wazee wa madili ni wakati wenu kutaabika
ha ha ha... pole sana mkuu!! kumbe umeajiriwa? sorry nimekua mbinafsi kwa kujiwazia sisi madeiwaka tu.Mkuu mimi mwenyewe nilikua siamini kama wewe lakini kwasasa nimeamini baada ya kufikia leo tarehe 4/8 bila kuuona mshahara wa mwezi wa saba kweli hali nitete
Wewe Darasa la Saba uliyekaa kwenye system muda mrefu ukawa unagoma kujiendeleza kielimu wamekuondoa kwenye payrollMkuu mimi mwenyewe nilikua siamini kama wewe lakini kwasasa nimeamini baada ya kufikia leo tarehe 4/8 bila kuuona mshahara wa mwezi wa saba kweli hali nitete
Pesa IPO. Na inakidhi mahitaji.mm bado siamini katika Kauli hii..me bado naona pesa zipo tu, kwasisi tunaofanya kazi kwelikweli hela zipo aisee.
na wengine wachapa kazi Najua watanisapoti ila kwa wale wazee wa madili ni wakati wenu kutaabika
Sio gundiHahahaha! Na bado atavuta mpaka petrol
Kitumbua chako unauzia pande zipi?ha ha ha... pole sana mkuu!! kumbe umeajiriwa? sorry nimekua mbinafsi kwa kujiwazia sisi madeiwaka tu.
nimeangalia kwa upande wa kwetu wauza vitumbua maana wateja tunao wengi daily.
Sawa doto ndugu wa magufuli tumekuskiamm bado siamini katika Kauli hii..me bado naona pesa zipo tu, kwasisi tunaofanya kazi kwelikweli hela zipo aisee.
na wengine wachapa kazi Najua watanisapoti ila kwa wale wazee wa madili ni wakati wenu kutaabika