kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,744
Ku-overprice maana yake kuku wa shs 10,000/= , kwenye Invoice utaandika shs 30,000/=We ng'ombe hapo ufisadi uko wapi sasa
Ku-overprice maana yake kuku wa shs 10,000/= , kwenye Invoice utaandika shs 30,000/=We ng'ombe hapo ufisadi uko wapi sasa
Sema wewe huna pesa si watu hawana pesa.Watu hawana hela hizo nyanya utamuuzia nani? Hela haipo kwenye mzunguko mimi nafanya biashara ya samaki sokoni pagumu raia hawana kitu utamuizia nani? kama watu wa pharmacy wanalalamika hakuna wateja that's means watanzania wanaugua lkn wanajikaza tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa fursa zilizopo Tanzania kama huzioni basi utaishi kwa shida sana. Tanzania ni kati ya nchi chache zenye fursa lukuki unaanza biashara kwa mtaji mdogo ndani ya miaka kumi unakuwa milionea. Tatizo kubwa kwa watanzania walio wengi hamtaki kubadilika kutokana na wakati uliopo mumekalia kulialia tu maisha magumu hamtaki kushirikisha ubongo.We upo Tanzania hii au? Maana hata mtoto asiyetafuta hela anaelewa utofauti, kama unafanya biashara yoyote lazima unaona utofauti mkubwa na hata kwenye makampuni binafsi mengi yamepunguza wafanyakazi, nadhani kilimo huijui vizuri na kama unaijua basi kwa namna ambayo sio ya kitanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Siamini kuwa wanaolalamika kuwa maisha ni magumu wote walikuwa mafisadi.
Hembu tulete ushuhuda kama wewe
- Mfanyakazi
- Mkulima
- Muuza hoteli
- Muuza nguo
- Muuza genge Nk.
Tunaomba viongozi waweze kuchukua hatua hali mtaani ni worse.
Ushuhuda:
Nina kakibanda ulipaji wa kodi ni tabu mno kila siku wapangaji wanadai hawapati hela hivyo niwavumilie.
Kwahiyo ukiona mpangaji kabadilika maana yake mtu kafirisika? Ulivyoona nyumba inauzwa ukajua mwenyewe kashindwa kurejesha mkopo wa bank au? Mbowe mwaka huu kazi anayo sio ujinga wa wafuasi wake huuJana narudi hom nikapitia Kkoo, mtaa wa Congo na nin sijui ule kutokea Gerezani. Nikaona kuna fremu inafanyiwa Marekebisho iko tupu!
Maana yake nini, hapo ni mtu biz kaona haitembei kaamua kusepa kufanya mambo mengine. Pia kuna nyumba inauzwa Oysterbay iko karibu kabisa na ofisi za ubalozi wa Zambia, tangu mwezi wa Tisa mwaka jana mpaka leo naliona bango tu panauzwa
Kakanyage mafuta yatalainika tu mkuu
Ukiwa na Akili ndogo unadhani unaweza kuelewa kilichopo!!? Endelea kukaa kwa shemeji yako.Kwahiyo ukiona mpangaji kabadilika maana yake mtu kafirisika? Ulivyoona nyumba inauzwa ukajua mwenyewe kashindwa kurejesha mkopo wa bank au? Mbowe mwaka huu kazi anayo sio ujinga wa wafuasi wake huu
Pambana kijana, maisha ni kupambana bila kuchokaMwaka wa nne sasa niko kitaa tu, jua langu mvua yangu
NB: nimekaa darasani miaka 16 haha.
We bullar yule mke wako mlisharudiana au mliishia wap
We bullar yule mke wako mlisharudiana au mliishia wap
Duh pole Sana kila mtu ana majanga yake haki,Alinipa ujasiri wa kupambana na maisha sasa hivi ubao umegeuka ananibembeleza turudiane nikawambia tubaki wazazi tu mambo mengine kila mtu apambane kivyake, natamani kuandika mwendelezo ttzo mwandiko wangu hua una utata sijui kupangilia paragraph kabisa mtu aelewe. Ila inshort muda ni mwalimu mzuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu japo kila siku afadhari ya jana.Pambana kijana, maisha ni kupambana bila kuchoka
Duh pole Sana kila mtu ana majanga yake haki,
Sasa ulishaoa?
Mambo yamebadilika sana, kwa waliosoma Uchumi wanajua Duniani kote Government ndio inatakiwa iwe big spender ili fedha ziweze kuonekana kwa wanachi. Serikali yetu inakusanya hela nyingi sana na matumizi utasikia imelipa kampuni flani kutoka nje ijenge kitu flani. Mzunguko wa pesa unazidi kupungua kadri siku zinavoenda
TRA na polisi wamekua wakusanyaji wakubwa wa mapato
Serikali inatoa ajira kwa nadra
Wahitimu wengi wa chuo ndoto zao zimezimwa
Mtaani hakuahikiki mpaka baba zetu wanabeti
Vitu vinapanda bei mishahara iko pale pale
Ukijumlisha pesa zilizoenda nje
Ndege, 10% deposit ya Stiglers Gorge, SGR, Ubungo Interchange pesa zilizobaki haziwezi kuonekana kwenye mzunguko
anaebisha maisha sio magum ni mpuuzi, biashara sahivi haziendi yani ni tofauti na mwaka 2015, juzi nimekaa nanyoa nikawa namhoji kinyozi vipi maisha yanaendaje, ndo kwanza linafurahia eti uncle magu kasaidia siku hizi watu hawana dharau kama enzi za jk, sa nkamuuliza wateja kipind cha jk na sahivi wapi wengi, akasema jk, sasa namuuliza watu kutokua na dharau imesaidiaje life lako? Kimya, ndo nkaamini wengi wanaoshabikia ccm ni wanafki na wachawi, ni kama tu man u icheze na team kwny danger zone af ushangilie tim iyo, huo ni uchawi inshort, stupid !
Sent using Jamii Forums mobile app