Umenikumbusha kunakipindi wafanyakazi wangu kwenye biashara ya restaurant, (mgahawa) nilikuwa nawalipa hadi tarehe 50 yaani nilikuwa nawashirikisha kila kitu hadi wakasema tuwe tunajilipa mmoja mmoja labda wanaanca kulipana kuanzia tarehe 5 ya mwezi unaokuja hadi tarehe 15 ikizidi sana tarehe 20