Maisha yamekuwa magumu sana, hakuna pesa za kuhonga

Maisha yamekuwa magumu sana, hakuna pesa za kuhonga

Hawana msaada wowote hao ukifulia, fanta moja wanakunywa masaa saba
 
Umenikumbusha Tarehe 40😂😂
Umenikumbusha kunakipindi wafanyakazi wangu kwenye biashara ya restaurant, (mgahawa) nilikuwa nawalipa hadi tarehe 50 yaani nilikuwa nawashirikisha kila kitu hadi wakasema tuwe tunajilipa mmoja mmoja labda wanaanca kulipana kuanzia tarehe 5 ya mwezi unaokuja hadi tarehe 15 ikizidi sana tarehe 20
 
Tamaa iko pale pale, tatizo kweli ni pesa, pesa inatulimit sana sana, otherwise wengine tungekuwa hoi mda huu.
 
Tamaa iko pale pale, tatizo kweli ni pesa, pesa inatulimit sana sana, otherwise wengine tungekuwa hoi mda huu.
ni hatar, unaweza honga huku machoz yanatoka 😃😃😂
 
Back
Top Bottom