Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #101
Hakuna biashara rahisi ndio maana nimewaza kujaribu hii ya PUBsi umisema maisha uswazi ni magumu.. sasa hiyo PABU ukifungua utapata walevi wakati hawana kitu AROSTO
Hili kila mtu analijua na haina haja ya kulirudia mara kwa marasi umisema maisha uswazi ni magumu
Kuna biashara nyingi tu rahisi kufanya. Ila ndiyo hivyo watanzania wengi wavivu kufikiri kama.@matolaSawa kabisa mkuu. Nothing comes at ease
faida ni kinachosalia baada ya kutoa mtaji ndio ninachojua mimi .sasa kama hiyo 20,000 ndio faida je bajaji ikipotea kabla ya kurudisha pesa yako ya mtaji utaita umepata faida???Hiyo 20,000 kwa siku ndiyo faida yenyewe, of course ukitoa gharama za uendeshaji. Million 7 ndiyo mtaji wenyew. Kwa maneno mengine faida inatengenezwa siku bajaj inaanza kuoperate, na siyo eti faida ni kurudisha million 7. Inaelekea hujawahi kufanya biashara.
Kama biashara gani mkuu?Kuna biashara nyingi tu rahisi kufanya.
Faida haipigwi mahesabu hivyo. Faida ni kinachobaki baada ya kutoa uendeshajifaida ni kinachosalia baada ya kutoa mtaji ndio ninachojua mimi .sasa kama hiyo 20,000 ndio faida je bajaji ikipotea kabla ya kurudisha pesa yako ya mtaji utaita umepata faida???
Huyo unayepakana nayeJirani yangu yupi boss?
Ninapakana na wengi sanaHuyo unayepakana naye
Well saidFaida haipigwi mahesabu hivyo. Faida ni kinachobaki baada ya kutoa uendeshaji
nadhani asilimia kubwa humu tunachojua ukinunua kitu 7,000 ukikiuza 10,000 faida ni 3,000.Faida haipigwi mahesabu hivyo. Faida ni kinachobaki baada ya kutoa uendeshaji
ni kweli mkuuHiyo biashara inaokoa sana boss maana wamama hawawazi tena kuhusu misosi wanamaliza juu kwa juu.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] duh mbona ngumu kumesa bwa shehe ndio siku hizi utu tugali hatuna diliHizo gari kuiuza ni ngumu sana mzee. Mie niliwahi kuuza Mark II GX 100 miaka ya nyuma kwa bei ya kutupa sana. Hiyo gari hata kama unazo mbili ukiziuza hupati Bajaj moja mpya
Sawa Sasa jikaze maana kusema maisha magumu siyo uzalendo.Uzalendo kwa nchi ni katika shida na raha mkuu. Mapenzi kwa nchi hayaitaji siasa mzee baba.
Mkuu hauko serious.Ok taja iyo Biashara yako tuone kama haina njia nyingi
Si dili kwanini?Gari hiyo ukiuza utapata pikipiki used na chenji kubaki kidogo. Au utapata fekon mpya ambayo kibiashara katikati ya jiji si dili.
Tatizo lako wewe unataka kuleta habari za CCM na CHADEMA katika mada hii.Sawa Sasa jikaze maana kusema maisha magumu siyo uzalendo.
Bodaboda gani anaingiza 70 kwa siku?Bodaboda kwa siku anaingiza 20-70. Sasa wewe wa tax sijui unapata ngapi per day
Jikaze mkuu.Tatizo lako wewe unataka kuleta habari za CCM na CHADEMA katika mada hii.
Mchana wanakula kazini na jioni wanabeba msosi wanakuja nao home.Hiyo biashara inaokoa sana boss maana wamama hawawazi tena kuhusu misosi wanamaliza juu kwa juu.
Na kama vyuma vimekaza apake GRISISawa Sasa jikaze maana kusema maisha magumu siyo uzalendo.