Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chase Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo

Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chase Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo

Hiyo 20,000 kwa siku ndiyo faida yenyewe, of course ukitoa gharama za uendeshaji. Million 7 ndiyo mtaji wenyew. Kwa maneno mengine faida inatengenezwa siku bajaj inaanza kuoperate, na siyo eti faida ni kurudisha million 7. Inaelekea hujawahi kufanya biashara.
faida ni kinachosalia baada ya kutoa mtaji ndio ninachojua mimi .sasa kama hiyo 20,000 ndio faida je bajaji ikipotea kabla ya kurudisha pesa yako ya mtaji utaita umepata faida???
 
Hizo gari kuiuza ni ngumu sana mzee. Mie niliwahi kuuza Mark II GX 100 miaka ya nyuma kwa bei ya kutupa sana. Hiyo gari hata kama unazo mbili ukiziuza hupati Bajaj moja mpya
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] duh mbona ngumu kumesa bwa shehe ndio siku hizi utu tugali hatuna dili
 
Ok taja iyo Biashara yako tuone kama haina njia nyingi
Mkuu hauko serious.

Business ni creativity na creativity ni siri.
Na ili upate ubunifu unahitaji kutumia akili.
Ni siri ili ufanikiwe sababu kila mtu akiijua then kutakuwa hakuna soko.
Hivyo sitokutajia na hata nikikutajia hutoweza kufanya kama tufanyavyo sisi.

Ndio maana nimeweka simple formula ambayo kama utatumia akili basi utagundua bunch of strategies kuhusu business.

Just try to use your own mind correctively and effectively.
 
Back
Top Bottom