Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #121
Sawa mkuuMaisha yanatisha lakini ukikubaliana na hali halisi ukabuni biashara ambayo unaweza kumudu mambo yataenda- Kama Bajaj ukiweza kununua hata kama siyo mpya inaweza kukusaidia cha muhimu jali matengenezo yake tu
Nikitaka kuuza nitakuuzia kwa 3M, ngoja kwanza nipate goli zuri la kufungulia hiyo pub kwanza.Subirini. Kwamba nikiwa na 1M napata gari kama la mleta uzi?
Hii inategemea na aina ya uwekezaji kwa mantiki ya bajaji ya mkataba jamaa yupo sahihi ngoja nimalize kula maana kula tena mpaka kesho muda kama huuFaida haipigwi mahesabu hivyo. Faida ni kinachobaki baada ya kutoa uendeshaji
Sahihi kabisa,Na kama vyuma vimekaza apake GRISI
Kama uko Dar wadadisi wale bodaboda wa Kariakoo, posta, Sinza au Mwenge watakuambia wanaingiza sh.ngapi kwa siku mojaBodaboda gani anaingiza 70 kwa siku?
Bajaj kwa 3M mkuu? Hiyo si itakuwa ni chakavu sana.Hivi hii biashara ya taxi bado ipogo?
Uza hiyo,nunua bajaji moja na nyingine mfungulie mamaz ki streetshop
Hata mimi nilishangaa mkuu98K mtaji uwongo
Bro it took me years kua na 1M ngoja nikusubiriNikitaka kuuza nitakuuzia kwa 3M
Tena walikuwa wapiga Deal.Sahihi kabisa,
wanaolalamika maisha magumu walizoea kushi kwa ujanja ujanja.
Tuchape kaziiii.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Sawa chiefUza hiyo gari nunua bajaji uendeshe mwenyewe , achana na hayo mawazo ya pub
Bodaboda wanaoingiza hela nzuri hapa town ni wale wanaopiga kazi katikati ya jiji.Si dili kwanini?
Hongera sana mkuuKweli ndugu yangu yaani mimi ndo ugeni tu wa biashara na kwakua sikai mwenyewe na bado sina jina kubwa na changa ila kwa siku faida ya 10-20K sikosi na hapo nauza ugali,wali na supu pekee nikianza kuweka maji,juice,soda nk nitaingiza 30-50k kwa hela hiyo huku nikiwa muajiria mahala flani na nina kimaabara bubu maisha angalau yatanipa nafasi nipumue miaka 2 ijayo.
Ooh,,sasa fanya hivi,,uza hiyo gari nenda bk pakia mikungu ya ndizi kwenye mv victory,, njoo ushushe mwanza,,saa sita tu ushauza mzigo unahesabu faida,piga trip nne tu kwa mwezi,baada ya miezi sita,utakua ushatoboaBajaj kwa 3M mkuu? Hiyo si itakuwa ni chakavu sana.
Upo vizuri sana mkuuMimi mwaka huu nimefungua biashara mbili..moja ya taaluma yangu na moja ndo huo mgahawa.
Mgahawa frem,ukarabati,vifaa kama viti na meza,masufuria,sahani nk nimetumia 984k nimeajiri wafanyakazi wawili ila mmoja nina ukaribu nae sana...
Kisha ataanza dharau. Wanawake hawa bhana wakishakuwa na pesa kuzidi waume zao basi ni shiiiiidamimi nmemfungulia wife hiyo biashara, anaingiza mkwanja mrefu kwa siku kunizidi mimi niliyeajiriwa
Kwani nikiuza kwa 3M sipati mteja mzee baba?Mawazo yako hayaendani iyo Gari ukiuza ni 2.-2.4Million labda ununue pikipiki sio Bajaji wala kufungua Pub.
Pole sana na Mungu azidi kukupigani mkuuMawazo yako hayaendani iyo Gari ukiuza ni 2.-2.4Million labda ununue pikipiki sio Bajaji wala kufungua Pub. Huu ndio Ukweli au ninasema uongo ndugu zangu. Tupambane hata uku kwangu maisha ni magumu Sijawahi kuona toka nibalehe
Akili yako haIjatofautiana na yangu.Hapa sijajua watu wanawazaga nini ila mimi niliwahi waza hili swali ..unajua milioni 7 ukitulia vizuri bila papara unaweza zalisha zaidi ya laki 1 kwa siku bila kuiriski.
Ngoja nitafanyia utafiti hii biashara yako mkuuNaunga mkono hoja..nimefungua mgahawa una mwezi tu lakini naona matunda
Bro! Nikwambie kitu[emoji848] mkeo nahisi kuna mwamba anakusaidiamimi na mke wangu kupitia hiyo biashara tumeweza kununua kiwanja na kuhusu mimi kutoa pesa ya matumizi nyumbani sitoi kabisa.. mke anamaliza mambo yote