Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chase Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo

Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chase Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo

Hapa inategemea na aina ya biashara pia...ila kwenye vyombo vya moto kwa fikra zangu najua faida inakuja baada ya kurudisha pesa uliyonunulia chombo.
Faida haipigwi mahesabu hivyo. Faida ni kinachobaki baada ya kutoa uendeshaji
 
Mkuu tusisubiri mpaka tuwe na mamilioni ndo tufanye mambo ...haikua rahisi kiivyo maana nilijinyima mno lakini nilijipinda kwa miezi 6 ili kufungua shukrani kwa mama mwenye nyumba kwa kunivumilia kwa miezi 4 bila kukata kodi yangu.
Upo vizuri sana mkuu
 
Okay mimi nilifanya hivi hapa sitatoa siri zote bwa shehe.
1.Eneo ambalo nimefungua maabara yangu imezingukwa na vitu vifuatavyo..
[emoji117]Gereji
[emoji117]Wafyatua matofali
[emoji117]Wachana mbao
Sasa niligundua wale wote hawana sehemu ya kula mpaka waagize stand ambapo ni kama mita 200 kutoka biashara zilipo na vyakula vyao ni low quality mno kwa bei kubwa.
Ninapofanya kazi ,wanapika ugali wa buku lakini wanajitahidi wanaweka dagaa,maharage,samaki na mboga za majani,wakati huo huo pale nilipofungua Lab ugali wanauza 1500 kwa mboga zile zile kwa low quality.

Nikafanya hivi Ugali nimeweka kwa buku jero ila nimeongeza tunda kwenye sahani naweka ndizi kipande au kipande cha nanasi(matunda nchakulia stirio au buguruni).Kwenye sahani najitahidi na nimewaambia wadada wanaonisaidia chakula lazima kiwe bora watie viungo vinavyohitajika na kwa ubora mkubwa hata kama faida itakua ndogo(mwanzoni target yangu ilikua ni biashara kwanza faida nilitegemea kupata kwenye vinywaji na si chakula)..hivyo mtu akinunua ugali wa buku jero anakutana na tunda hilo likawa bao la kwanza.

2.Wali nako nimejitahidi kuwaelesha uwe mzuri na wanapika vyema wanaweka njegere mara moja moja kwenye wali hivyo watu wanavutiwa kuja pale,,,

4.Usafi wa hali ya juu kuanzia mazingira hadi vyombo na lugha nzuri

5.Supu nauza buku lakini kwenye kila bakuli naweka na kiazi hivyo bakuli inapendeza na ni safi mno(natarajia kuweka kipande cha mkate huko mbeleni ila bado ndo nafikiria.

6.Wafanyakazi wawili ,huyu mmoja nimemtoa ninapofanya kazi baada kumona mchapa kazi na analipwa elfu 4 kwa siku nikamvuta kwangu kwa elfu 7. Na yule mwingine yeye makubaliano yetu awe msimamizi mkuu halafu tunalipana kutokana na kinachopatikana hivyo anafanya kazi kwa ubunifu mkubwa ukizingatia ni mtu wa dini sana na mpishi mzuri balaa.

Mahitaji yote sinunui rejareja
[emoji117]Mchele,unga,viazi ,mafuta nk nanunua jumla
[emoji117]Nyanya sterio nk

Natarajia kufanya haya
1.kununua mafriza makubwa mawili ili nianze kuweka na vinywaji
2.Kuweka na mtu wa chipsi auze kwa bei chee

Nk

Nb:Sio muandishi mzuri ila nina imani kwa uchache ndugu umeambulia kitu muhimu fanya kitu bora hata kama faida ndogo baada ya muda wateja wakizidi utapata kubwa.
Mkuu nakuomba unifundishee jinsi unavyofanya hiyo biashara ya mgahawa mtaji upo mkononi boss
 
Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chaser Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo.

Sasa ni karibia mwezi wa saba huu tangia nianze biashara hii ya kuendesha Taxi bubu. Nilianza mwezi wa tano (May) mwaka huu wa 2020. Biashara imekuwa ngumu sana kwa maana siku hizi kuna Bajaj.

Mtu anaona bora akodishe Bajaj kwa bei nafuu ndio ampeleke mgonjwa hospital au kwenda mjini. Sisi Taxi Drivers tupo hoi biashara imeshuka. Kabla ya Bajaj kuja huko mambo yalikuwa shwari sana mwaka jana 2019, ila sasa hivi ni balaa tupu.

CHASER AVANTE NUMBER "A"

View attachment 1652148

Kabla ya kuja Bajaj kulikuwa na hawa bodaboda ambao wao hawakuwa kikwazo kwetu kwa maana mtu hawezi kukodi bodaboda akabeba maharusi au akampeleka mama mjamzito kujifungua hospitali ya mbali.

Niliwahi kuwaza niendeshe gari hii kama Uber ila kutokana na ukubwa wake wa engine nisingeweza kupata faida yoyote. Ninaombeni msaada wenu wa mawazo.
Mbona leo umesahau kuwa mzalendo?
 
Sister usitafute mabwana kwa mgongo wangu wewe njoo direct kwamba jamaniee, mwenzenu nina bidhaa hapa nauza, watu watakuja tu inbox.

Sasa hii ya kuja kwenye nyuzi zinazoongelea mambo mengine kabisa kutafuta waume kwa kificho haitakusaidia.

Alafu mbona Melo karahisisha sana? Kila kitu na jukwaa lake, wenzio wanaotaka mabwana wako kwenye jukwaa la mahusiano, wewe uko busy kwenye nyuzi za watu, shida ni nini? Stress za kukosa ukuni au?
Mhhh
 
Jamaa anas



Jamaa leo unafiki umemshinda.
Jamaa alinikera Sana alivyomshauri mwakyembe aufungie wimbo wa young Dee(bongo bahati mbaya) eti unahamasisha vijana kutokuwa wazalendo, na kweli ngoma ikafungiwa, Sasa hebu fikiri msanii alitumia pesa kiasi gani mpaka ile ngoma kusimama? Video je?
Infantry Soldier ulinikera Sana ila nikakuweka kiporo tu
 
Na bado huu ni mwanzo tu. Miaka hii mitano ijayo hali ya kiuchumi Nchini itakuwa mbaya sana kuliko wakati wowote tangu tupate uhuru na kama una vijisenti vyako benki viondoe maana yanaweza kuwekwa masharti ya kutoa pesa benki na hata baadhi ya benki zinaweza kufilisika. Akili mkichwa.
Hili nililigundua mapeeeema

Sina hata senti bank

NB

Hii comment yako Kuna watu wataikumbuka sana[emoji848][emoji848]
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom