Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #201
Sawa, nitaipeleka ToangomaPeleka kwenye njia za kutokea nje ya mji..
Ila jiandae screpa baada ya mwaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, nitaipeleka ToangomaPeleka kwenye njia za kutokea nje ya mji..
Ila jiandae screpa baada ya mwaka
"Polepole" ndio nani? "Lumumba" ndio wapi mkuu?polepole ameacha kuwafanyia "konektion" huko Lumumba?
Tatizo lake yeye anawaangalia sana akina Pateli na akina Bahkresa! Anasau kuangalia watu waliomzunguka uswahilini kwake ili ajuwe uhalisia wa Maisha!!Wewe unavyolalamika hapo, hebu mfikirie mdada hapo uswazini kwenu ana kibiashara kidogo ambacho hakimtoshi kula yeye na familia yake ila ana michezo majina ma4 kila jina anacheza 2500
Mambo ya mnada kapanda dauKuna mdau hapo juu katoa offer ya 2m mimi nilitaka ku offer 1.5m nilipoona kuna mtu kaweka 2m nikakausha.
Pole sana na endelea kuota[emoji848][emoji848]Huna pesa wewe
Brobox bei yake hataiweza mkuu kwani hyo sana sana aiuze kwa mil3 tena kwa mbindeUza nununua Toyota probox hama Dar nenda mikoani huko mabuseresere,masirari sawa
DaaahBrobox bei yake hataiweza mkuu kwani hyo sana sana aiuze kwa mil3 tena kwa mbinde
Jini hilo mzeebaba,tena mil3 nimempendelea,🙄🙄🙄🙄Daaah
Hiyo probox bei gani mkuu?Uza nununua Toyota probox hama Dar nenda mikoani huko mabuseresere,masirari sawa
Sana mkuuHuu wimbo wa maisha magumu.naona unaanza kukolea[emoji16][emoji16][emoji16]
Thank you bro.I feel you bro!....
Ngoja nitamuuliza ili anipe elimu kidogo juu ya hilianapewa sh ngapi,bajaji kanunua sh ngapi ,service anafanta mara ngapi kwa muda gani
Nitaufanyia kazi ushauri wako mkuuKwan hiyo gari alimpa dereva au alikia anaendesha yeye? Mm nimemshauri anunue aendeshe yeye bajaj inafaida kubwa Sana ukiisimamia mwenyewe usimpe mtu
Hakuna biashara rahisi mkuuyani ununue babaji milioni 7 ili dereva akuletee sijui 20,000 kwa siku mpaka upate faida cjui lini hapo una-assume haijaharibika ,haijakamtwa,hujaibia spare,haijapata ajali ,mwendo wa presure tu
Kuna mama yangu mdogo anakaa kule KeregeHahahaaa, mwenye kujuta kujenga nyumba Kerege katika ubora wako!
faida ni kinachosalia baada ya kutoa mtaji ndio ninachojua mimi
Mkuu pub inalipa kama utakumbuka kuweka watoto wa singida kwa wingi 😆😆😆.kila kheri kwenye hili wazo lako jipyaMaisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chaser Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo.
Sasa ni karibia mwezi wa saba huu tangia nianze biashara hii ya kuendesha Taxi bubu. Nilianza mwezi wa tano (May) mwaka huu wa 2020. Biashara imekuwa ngumu sana kwa maana siku hizi kuna Bajaj.
Mtu anaona bora akodishe Bajaj kwa bei nafuu ndio ampeleke mgonjwa hospital au kwenda mjini. Sisi Taxi Drivers tupo hoi biashara imeshuka. Kabla ya Bajaj kuja huko mambo yalikuwa shwari sana mwaka jana 2019, ila sasa hivi ni balaa tupu.
CHASER AVANTE NUMBER "A"
View attachment 1652148
Kabla ya kuja Bajaj kulikuwa na hawa bodaboda ambao wao hawakuwa kikwazo kwetu kwa maana mtu hawezi kukodi bodaboda akabeba maharusi au akampeleka mama mjamzito kujifungua hospitali ya mbali.
Niliwahi kuwaza niendeshe gari hii kama Uber ila kutokana na ukubwa wake wa engine nisingeweza kupata faida yoyote. Ninaombeni msaada wenu wa mawazo.