Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #161
Gari ya nani tena wakati mimi ndiye mmiliki?gari yake haizidi mil 3 anawaza aiuze pesa azitumie kubadili biashara ,sasa bajaji sh ngapi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari ya nani tena wakati mimi ndiye mmiliki?gari yake haizidi mil 3 anawaza aiuze pesa azitumie kubadili biashara ,sasa bajaji sh ngapi??
Faida haipigwi mahesabu hivyo. Faida ni kinachobaki baada ya kutoa uendeshaji
Faida haipigwi mahesabu hivyo. Faida ni kinachobaki baada ya kutoa uendeshaji
Hongera sana mkuu
Upo vizuri sana mkuu
Ngoja nitafanyia utafiti hii biashara yako mkuu
Mkuu nakuomba unifundishee jinsi unavyofanya hiyo biashara ya mgahawa mtaji upo mkononi boss
Mbona leo umesahau kuwa mzalendo?Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chaser Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo.
Sasa ni karibia mwezi wa saba huu tangia nianze biashara hii ya kuendesha Taxi bubu. Nilianza mwezi wa tano (May) mwaka huu wa 2020. Biashara imekuwa ngumu sana kwa maana siku hizi kuna Bajaj.
Mtu anaona bora akodishe Bajaj kwa bei nafuu ndio ampeleke mgonjwa hospital au kwenda mjini. Sisi Taxi Drivers tupo hoi biashara imeshuka. Kabla ya Bajaj kuja huko mambo yalikuwa shwari sana mwaka jana 2019, ila sasa hivi ni balaa tupu.
CHASER AVANTE NUMBER "A"
View attachment 1652148
Kabla ya kuja Bajaj kulikuwa na hawa bodaboda ambao wao hawakuwa kikwazo kwetu kwa maana mtu hawezi kukodi bodaboda akabeba maharusi au akampeleka mama mjamzito kujifungua hospitali ya mbali.
Niliwahi kuwaza niendeshe gari hii kama Uber ila kutokana na ukubwa wake wa engine nisingeweza kupata faida yoyote. Ninaombeni msaada wenu wa mawazo.
Usipoimba uhujumu uchumi unakuhusuHuu wimbo wa maisha magumu.naona unaanza kukolea[emoji16][emoji16][emoji16]
MhhhSister usitafute mabwana kwa mgongo wangu wewe njoo direct kwamba jamaniee, mwenzenu nina bidhaa hapa nauza, watu watakuja tu inbox.
Sasa hii ya kuja kwenye nyuzi zinazoongelea mambo mengine kabisa kutafuta waume kwa kificho haitakusaidia.
Alafu mbona Melo karahisisha sana? Kila kitu na jukwaa lake, wenzio wanaotaka mabwana wako kwenye jukwaa la mahusiano, wewe uko busy kwenye nyuzi za watu, shida ni nini? Stress za kukosa ukuni au?
Jamaa alinikera Sana alivyomshauri mwakyembe aufungie wimbo wa young Dee(bongo bahati mbaya) eti unahamasisha vijana kutokuwa wazalendo, na kweli ngoma ikafungiwa, Sasa hebu fikiri msanii alitumia pesa kiasi gani mpaka ile ngoma kusimama? Video je?Jamaa anas
Jamaa leo unafiki umemshinda.
Kuna mdau hapo juu katoa offer ya 2m mimi nilitaka ku offer 1.5m nilipoona kuna mtu kaweka 2m nikakausha.Noma sana yaani kuiuza milioni 3 hiyo ufunge na kuomba
Hii gari market value yake kwa sasa ni 3Mangekua na uwezo wa bajaji c asingekuja humu mkuu,hiyo gari ziwe mbili ndio thamani ya bajaji
Kasema 984k au kwa kifup milioni kasoro laki na sitini. Huo mtaji kwa vimgahawa vya kawaida unatosha sana tu98K mtaji uwongo
Kuendesha bajaji ni kazi nzuri sana mkuuUnaonekana we ni mgumu sana kuelewa au hujasoma uzi , mtoa mada kashasema sahiv anaendesha Tax mi nmemshaur ananue bajaj aendeshe, Kwan kuendesha bajaj siyo Kaz?
Hili nililigundua mapeeeemaNa bado huu ni mwanzo tu. Miaka hii mitano ijayo hali ya kiuchumi Nchini itakuwa mbaya sana kuliko wakati wowote tangu tupate uhuru na kama una vijisenti vyako benki viondoe maana yanaweza kuwekwa masharti ya kutoa pesa benki na hata baadhi ya benki zinaweza kufilisika. Akili mkichwa.