Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chase Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo

Mkuu kama unataka kuuza hiyo gari Kwa bei ya faida peleka mkoani , saizi unaweza ukajaribu Mtwara. Saizi watu wamepiga biashara za korosho pesa hawakosi.
 
Nacheka tu comments za Watanzania 🤣🤣🤣

Yani gari imeharibika msituni alafu abiria wote, dereva pamoja na konda wote kila mmoja anasema mtajua wenyewe
 
Sio faida hyo,utakaporudisha 7m ya mtaji ndipo utaanza kuhesabu faida
 
Kisha ataanza dharau. Wanawake hawa bhana wakishakuwa na pesa kuzidi waume zao basi ni shiiiiida
tabia kama hiyo ipo ni kuvumilia, tu na jinsi unavyoishi naye.
baba kama baba lazima uwe na sauti, msimamo uweledi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…