Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #141
Engine bado ipo safi. Ngoja nikitaka kuiuza nitakushtua mzee babaGari yako ina cc ngapi mkuu kama naweza kuichukua? Na je engine bado iko safi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Engine bado ipo safi. Ngoja nikitaka kuiuza nitakushtua mzee babaGari yako ina cc ngapi mkuu kama naweza kuichukua? Na je engine bado iko safi?
Mkuu nakuomba unifundishee jinsi unavyofanya hiyo biashara ya mgahawa mtaji upo mkononi bossHapa sijajua watu wanawazaga nini ila mimi niliwahi waza hili swali ..unajua milioni 7 ukitulia vizuri bila papara unaweza zalisha zaidi ya laki 1 kwa siku bila kuiriski.
Usijidanganye huwezi kuuza hiyo gari kwa 5mill hata ukipimp kiasi gani. Labda ukauzie mererani au geita kwenye madini huko sio DSMWell picha. Niuziehiyo GX kwa 2m nii-pimp nije kuiuza 5m.
**tunanufaika na shida zenu nyie wavivu
Sasa hilo gari takataka?angekua na uwezo wa bajaji c asingekuja humu mkuu,hiyo gari ziwe mbili ndio thamani ya bajaji
labda tumuulizeSasa hilo gari takataka?
Mambo ya hesabu haya operating cost sijui kutoa total cost [emoji23]Faida haipigwi mahesabu hivyo. Faida ni kinachobaki baada ya kutoa uendeshaji
Sio faida hyo,utakaporudisha 7m ya mtaji ndipo utaanza kuhesabu faidaHiyo 20,000 kwa siku ndiyo faida yenyewe, of course ukitoa gharama za uendeshaji. Million 7 ndiyo mtaji wenyew. Kwa maneno mengine faida inatengenezwa siku bajaj inaanza kuoperate, na siyo eti faida ni kurudisha million 7. Inaelekea hujawahi kufanya biashara.
Nilimaanisha Bajaj used. Alafu ni barabarani na sio balabalani mzee babaNi million 7 mpaka inaingia balabalani M8
Mbona nimetoa ufafanuzi kuwa hiyo 6M ni kwa kununua Bajaj iliyotumika mkuu. Daaah kuna baadhi ya watanzania ni wagumu sana kuelewa.Nilitaka kushangaa bajiji 6m au ananunua iliyotumika?
Hizo gari kuiuza ni ngumu sana mzee. Mie niliwahi kuuza Mark II GX 100 miaka ya nyuma kwa bei ya kutupa sana. Hiyo gari hata kama unazo mbili ukiziuza hupati Bajaj moja mpya
Ni kweli,hiyo gari huwezi kuiuza zaidi ya mil 2.5 kushuka chini.Really? Mbona ninazidi kutishika sasa mzee baba?
tabia kama hiyo ipo ni kuvumilia, tu na jinsi unavyoishi naye.Kisha ataanza dharau. Wanawake hawa bhana wakishakuwa na pesa kuzidi waume zao basi ni shiiiiida
😀 atajua mwenyewe, mini nachukulia kama mwiko ukishasongea ugali unauosha unapikia waliBro! Nikwambie kitu[emoji848] mkeo nahisi kuna mwamba anakusaidia
MmnhhJapani mkuu
Mbona umeguna?Mmnhh
Bado unawaza Pub?Nikitaka kuuza nitakuuzia kwa 3M, ngoja kwanza nipate goli zuri la kufungulia hiyo pub kwanza.
Daaah noma sana mkuuBajaj ni bei ya gar mkuu inakaribia 8M kama una passo ukikutana na bajaj pak pemben apite maana anaendesha chombo ya gharama kuliko yako[emoji3]