Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #61
SawaSasa used haina bei maalum hata ukiwa na 5M unaweza kupata mkuu kutegemea na uchakavu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaSasa used haina bei maalum hata ukiwa na 5M unaweza kupata mkuu kutegemea na uchakavu.
Gari yako ina cc ngapi mkuu kama naweza kuichukua? Na je engine bado iko safi?Sawa
Mkuu, mpaka bajaj iingie barabarani (vibali) andaa 7.5m-8m, hiyo 6m sijui ilikuwa mwaka gani.6 Millions mzee baba
Acha afunguwe Pub Walevi nao wamkope, maana hali ni tetee kila kona, nazani shiling inataka kupanda thamani kwa kasi sana,tuwe wavumilivu tu!!Daah pole mkuu, kote ni kugumu unaweza fungua pub na walevi hali zao tete mifukoni
Bajaj secondhandMkuu, mpaka bajaj iingie barabarani (vibali) andaa 7.5m-8m, hiyo 6m sijui ilikuwa mwaka gani.
Uza gari fungua biashara ya mgahawa na uisimamie mwenyewe, watu ni lazima kila siku wale chakula hivyo ni jambo la muhimu.
Kufungua pub ni jambo la ziada tu, siyo lazima kila siku watu kunywa pombe.
Ukizingatia huu ushauri wangu utakuja kunishukuru siku zijazo.
Toka zamani watu wanaimba wimbo wa Maisha Magumu,na hata wakati niko mdogo pia Wazazi wangu nao walikuwa wanaimba wimbo huohuo tunaoimba Sasa!! Alafu siyo kweli kila Mtu anaesema Maisha Magumu ni kweli ana Maisha Magumu, Wengine wafuata mkumbo tu lakini wako vizuri sana kimaisha!!Huu wimbo wa maisha magumu.naona unaanza kukolea[emoji16][emoji16][emoji16]
yani ununue babaji milioni 7 ili dereva akuletee sijui 20,000 kwa siku mpaka upate faida cjui lini hapo una-assume haijaharibika ,haijakamtwa,hujaibia spare,haijapata ajali ,mwendo wa presure tu
6 Millions mzee baba
Fafanua kidogo kama hutojali mkuu.Hapa sijajua watu wanawazaga nini ila mimi niliwahi waza hili swali ..unajua milioni 7 ukitulia vizuri bila papara unaweza zalisha zaidi ya laki 1 kwa siku bila kuiriski.
Mpya ndio 7 mkuu, ila hizi used za huku uswahilini kwetu ndio kuanzia 6 kurudi chiziSio 7 mkuu?
mimi nmemfungulia wife hiyo biashara, anaingiza mkwanja mrefu kwa siku kunizidi mimi niliyeajiriwaNaunga mkono hoja..nimefungua mgahawa una mwezi tu lakini naona matunda
Fafanua kidogo kama hutojali mkuu.
mimi nmemfungulia wife hiyo biashara, anaingiza mkwanja mrefu kwa siku kunizidi mimi niliyeajiriwa
Uza hiyo gari nunua bajaji uendeshe mwenyewe , achana na hayo mawazo ya pubMaisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chaser Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo.
Sasa ni karibia mwezi wa saba huu tangia nianze biashara hii ya kuendesha Taxi bubu. Nilianza mwezi wa tano (May) mwaka huu wa 2020. Biashara imekuwa ngumu sana kwa maana siku hizi kuna Bajaj.
Mtu anaona bora akodishe Bajaj kwa bei nafuu ndio ampeleke mgonjwa hospital au kwenda mjini. Sisi Taxi Drivers tupo hoi biashara imeshuka. Kabla ya Bajaj kuja huko mambo yalikuwa shwari sana mwaka jana 2019, ila sasa hivi ni balaa tupu.
CHASER AVANTE NUMBER "A"
View attachment 1652148
Kabla ya kuja Bajaj kulikuwa na hawa bodaboda ambao wao hawakuwa kikwazo kwetu kwa maana mtu hawezi kukodi bodaboda akabeba maharusi au akampeleka mama mjamzito kujifungua hospitali ya mbali.
Niliwahi kuwaza niendeshe gari hii kama Uber ila kutokana na ukubwa wake wa engine nisingeweza kupata faida yoyote. Ninaombeni msaada wenu wa mawazo ndugu, jamaa na rafiki zangu.
98K mtaji uwongoMimi mwaka huu nimefungua biashara mbili..moja ya taaluma yangu na moja ndo huo mgahawa.
Mgahawa frem,ukarabati,vifaa kama viti na meza,masufuria,sahani nk nimetumia 984k nimeajiri wafanyakazi wawili ila mmoja nina ukaribu nae sana...ukitoa matumizi yote kwa siku nabakia na faida isiyopungua 10k hapo sijaanza kuuza vinywaji,maji,maziwa,juice nk nina uza wali,ugali,supu pekee na pia sikai mwenyewe nikianza kuuza hivo vitu na mgahawa ukichangamka vizuri nadhani faida ya 30+ nitaipata.
Kwani usafiri mteja sio lazima kusafiriKwanini usifanye biashara ambayo ni lazima kwa mteja kuwa nayo hivyo lazima alipe?
Trust me najua ninachokiandika.
mimi na mke wangu kupitia hiyo biashara tumeweza kununua kiwanja na kuhusu mimi kutoa pesa ya matumizi nyumbani sitoi kabisa.. mke anamaliza mambo yoteKweli ndugu yangu yaani mimi ndo ugeni tu wa biashara na kwakua sikai mwenyewe na bado sina jina kubwa na changa ila kwa siku faida ya 10-20K sikosi na hapo nauza ugali,wali na supu pekee nikianza kuweka maji,juice,soda nk nitaingiza 30-50k kwa hela hiyo huku nikiwa muajiria mahala flani na nina kimaabara bubu maisha angalau yatanipa nafasi nipumue miaka 2 ijayo.