Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Kenge Wewe huoni kilichoandikwa?Umeandika nini sasa?
mnaokula kwa wazazi mna kazi sana.......nenda kapange hizo nyanya uone kama hujarud nyumban hata hela mfukoni huna watu wanashindia mhogo mmoja asaivsijawahi kusikia kuna watu wamekufa kwa ugumu wa maisha, maisha ya tanzania ndio yako hivi siku zote, tena siku hizi kufanya biashara kumerahisishwa sana , ukiwa hata na elfu tano ukapanga mafungu yako ya nyanya barabaran hakuna atakaekubugudhi, ni uvivu wako tu