mkuu uache tu unafki,Hali ni ngumu kama alivyosema,I am employed in a chinese based contractor,last 2 months waliwa deport wachina wenzao 40 kwa lack of miradi, walifanya redundancy zaidi ya robo tatu ya wafanyakazi wakibongo.ZAIDI YA ROBO TATU.Kwa sababu gani? Hakuna miradi.Je kuanzia 2002 walipokuja Tanzania walishawahi kuwa out of Projects? Jibu ni hapana, kwa wachache tuliobakizwa hawa maboss zetu wakiAsia wanasema kabisa kampuni haina hela za kujiendesha / Profit margin imeshuka/ madeni bank hayalipiki na hakuna promise ya kupata miradi mipya Serikalini au binafsi...
Unaongea kitu gani bwana? Hadi foreigners wanajua hali ni mbaya halafu wewe unajitoa ufahamu?