Maisha yamekuwa magumu sana mtaani

Maisha yamekuwa magumu sana mtaani

Mkuu watu wanafanya kazi kwa juhudi na maarifa ila purchasing power Ni ndogo mpaka watu mitaji inakata. Hapo inakuaje?
Brother don't misuse such a terminology (purchasing power) kwa hao watu. Wanachowaza elfu 7.!!! Nothing more,nothing less!
 
laki 6 kwa mwezi hata wauza michicha wanaipata, nimetembelea vicoba vingi kuna watu wanachangishana elfu 10 kila siku na wengi ni mama ntilie, wauza samaki za kukaanga mtaani, mchicha na wanauwezo wa kuchanga na bado matumizi yake ya nyumbani, hapo wanaingiza zaidi ya elfu 20 kwa siku, wapiga debe tu wa stand hawakosi elfu 10 kwa siku

Narudia tena, ninajua ninachokiongea. Wacheza kikoba wengi sanasana ni elfu kumi kwa wiki kama ni machinga kweli, vinginevyo wenye kuweza kucheza kikoba cha shilingi 10,000 kwa siku huyo sio machinga bali Ni traffic. Wapiga debe ni kweli hawakosi shilingi 10,000 kwa siku, lakini zaidi ya nusu wanakula barabarani, achilia mbali kama anakunywa pombe na mrembo juu. Hao wauza samaki na michicha nawajua na kipato chako nakifahamu wala sihadithiwi.
 
hata wafanyakazi wote wa serikali wakihama dar hawawezi kupunguza mzunguko wa pesa, hao watumishi hata elfu 20 hawafiki wakati dar kuna watu milioni 6, hao wafanyakaz hawana impact yoyote kwa uchumi wa dar, dar jiji la wafanyabiashara
Sio kweli mfano mabar walevi wengi ,Wala nyama choma ikuwemo kitimoto ni wafanyakazi wa serikali wenyeji wengi Ni waislamu hawanywi pombe Wala kitimoto na hawali nyama choma bar.Hivyo kuondoka kumeathiri idadi ya wahudhuriaji bar na Wala nyama choma pia imeathiri biashara za daladala na vituo vya mafuta kwani wengi wajaza mafuta petrol station walikuwa wafanyakazi wa serikali na vigari vyao .daladala zilikuwa zinajaza Hadi Basi wafanyakazi wa serikali wanaowahi kusaini ofisini.Sekta ya nyumba za kupangisha pia imeumia Sana sababu walipa Kodi kubwa na nzuri walikuwa hao waliohanishiwa Dodoma
 
Hivi unadhani unaniambia kitu kipya ambacho sikijui wala kukifanyia utafiti? Hao wazungusha matunda waulize wakupe siri ya urembo, wako wengi wakifukuzia wateja wachache wenye uthubutu wa kununua matunda. Walio wengi huku mijini wanakula chakula kisichozidi shilingi 2,000 tena kwenye vijicontainer vya plastiki, huo ubavu wa kula matunda wautoe wapi? Na bado hao wazungusha matunda wanakutana na usumbufu mkubwa wakati wa kudai kila wakipita mara nipitie baadae, mara kesho. Hujui unaloongea bosi zaidi ya kupiga faida za kwenye karatasi.
hizo ni changamoto za biashara , hata mabenki, makampuni wanapata usumbufu wakidai madeni yao, lakin ukweli utabakia hawakosi elfu 20 kwa siku, wafanyabiashara wana pesa kupita wafanyakazi
 
hata wafanyakazi wote wa serikali wakihama dar hawawezi kupunguza mzunguko wa pesa, hao watumishi hata elfu 20 hawafiki wakati dar kuna watu milioni 6, hao wafanyakaz hawana impact yoyote kwa uchumi wa dar, dar jiji la wafanyabiashara

Utakuwa umelewa ww, hata watumishi wote wakihama hawawezi kupunguza mzunguko wa pesa Dar? Yaani penye aslimia zaidi ya 60 ya matumizi ya serikali useme wakihama hawapunguzi kitu! Subiri watoto wenzio mbishane as you know nothing.
 
wakulima wa korosho wamelipwa pesa zao za mauzo, iliyopata hasara ni serikali kwa kukosa soko nje ya nchi sio mkulima
Unauhakika na unachokiongea? Nenda maeneo wanakolimaizo korosho alafu uongee hayo maneno uine kama utarudi na ilo koromeo lako
 
Viashiria vya maisha kuwa magumu
1. Ukila hushibi, unadanganya tumbo kidogo tu
2. Usafiri wako wa kila siku haukufikishi hadi mlangoni, mfano unaishi ubungo unafanya kazi posta. Zamani ukishuka ubungo unachukua bodaboda hadi mlangoni, siku hizi unaukanyaga wa mguu hadi mlangoni
3. Gari yako unatembelea mwisho wa mwezi hadi mwisho wa mwezi tu, baada ya wiki, unapaki
4. Shopping kwako imekuwa kwa mwaka mara mojamoja
5. Vocha kwako ikikata ya simu unasonya
6. Umekuwa ni mtu mwenye mihasira hasira kila wakati
7. King'amuzi kikikata wala mshipa wa kichwa haukugongi, ndio kwanza unafungua facebook ya bure
8. Mambo ya msingi kwako yamekuwa ya anasa, mfano, kuoga
9. Umekuwa mtu wa kuwaonea wivu wengine kwa kila neema waliyonayo
10. Malizia na wewe...
 
Bivicha walideki Lami kule mara wakidai mabadiriko Kwa white hair cow mwisho wa siku karudi ccm
 
Mwendo wa kula waya kama Panya akili itasogea tutamuelewa Mange
 
Sio kweli mfano mabar walevi wengi ,Wala nyama choma ikuwemo kitimoto ni wafanyakazi wa serikali wenyeji wengi Ni waislamu hawanywi pombe Wala kitimoto na hawali nyama choma bar.Hivyo kuondoka kumeathiri idadi ya wahudhuriaji bar na Wala nyama choma pia imeathiri biashara za daladala na vituo vya mafuta kwani wengi wajaza mafuta petrol station walikuwa wafanyakazi wa serikali na vigari vyao .daladala zilikuwa zinajaza Hadi Basi wafanyakazi wa serikali wanaowahi kusaini ofisini.Sekta ya nyumba za kupangisha pia imeumia Sana sababu walipa Kodi kubwa na nzuri walikuwa hao waliohanishiwa Dodoma
waliohamia dodoma ni watumishi wachache wa wizara, hawawez kuathiri mzunguko wa pesa, halmashauri, manispaa bado wapo, arusha hakuna wizara lakin ni mkoa unaongoza kwa walevi na wala nyama choma
 
Mwendo wa kula waya kama Panya akili itasogea tutamuelewa Mange
Aisee kuna panya alikula waya wa subwoofer yangu, nawasha haiwaki, kutikisa subwoofer yumo ndani tena ana watoto wanne, haaaa, nilichompatia yeye na familia yake ndio wanajua.
 
Tuache utani jamani,hali ni mbaya sana huku mtaani,hela haipatikani,bei ya vitu inazidi kupanda,shambani nako vurugu mechi tupu,kifupi hali ni tete na sio kwamba watu hatufanyi kazi kwa bidii la hasha.Kwa hapa tulipofikia tunahitaji kufanya maamuzi magumu haki ya Mungu Wallah!!
Sijakuelewa mkuu; unataka maisha rahisi rahisi na mapesi mepesi ambapo hela inapatikana kirahisi rahisi?
 
waliohamia dodoma ni watumishi wachache wa wizara, hawawez kuathiri mzunguko wa pesa, halmashauri, manispaa bado wapo, arusha hakuna wizara lakin ni mkoa unaongoza kwa walevi na wala nyama choma
Wachaga wako wengi dar wachaga wengi na familia zao wanehamia Dodoma dar wamebaki wengi wazalamo,wandengereko ,wakwere,walugulu,wapogolo,wamakonde na makabila ya mikoani ambao wengi malofa
 
Wachaga wako wengi dar wachaga wengi na familia zao wanehamia Dodoma dar wamebaki wengi wazalamo,wandengereko ,wakwere,walugulu,wapogolo,wamakonde na makabila ya mikoani ambao wengi malofa
kwa hiyo wachaga pekee ndio wenye pesa , makabila mengine ni malofa?
 
Wakati maisha magumu, malaika mtakatifu wa Mungu anatumika kodi zetu kuipeleka Airbus Q400 nyumbani kwake Kula bata huku akiwaambia malofa HAPA KAZI TU.
 
Sifa kuu ya mchaga ni wizi
Wachaga wako wengi dar wachaga wengi na familia zao wanehamia Dodoma dar wamebaki wengi wazalamo,wandengereko ,wakwere,walugulu,wapogolo,wamakonde na makabila ya mikoani ambao wengi malofa
 
Hivi mpaka sasa Jiwe bado anaamini kwamba anawapeleka watanzania kwenye nchi ya maziwa na asali ?
 
Back
Top Bottom