Maisha yamekuwa mwiba mtaani

Maisha yamekuwa mwiba mtaani

Enter Passcode

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2024
Posts
479
Reaction score
942
Wasalaam

Wakuu, kila mmoja hapa anashuhudia mtaani kulivyo kugumu , hasa kwa wasaka tonge kama mm

Sasabasi, ajitokeze mwana mwenye dili ngumu ili tushiriki wote hiyo ‘National cake ‘. Niko tayari

Wasiotakiwa hapa ni wafuatao;
Wale wa fanya kazi halali
Mlioko kwenye system , hamtakiwi kabisa

#Nasubiri

@leodada
@nelsonjacobkagame
 
Unaweza mambo ya msitu kwa msitu ?
 
Unaweza kukusanya vijana wenzako wenye hali mbaya kiuchumi ?

Kama utaweza kushawishi na wasomi wasio na ajira wasio na mbele wala nyuma utakuwa umefanya vizuri.

Kama unaweza hayo wewe ni mtu sahihi nina muhitaji mkiwa wengi ni jambo jema
 
Wasalaam

Wakuu, kila mmoja hapa anashuhudia mtaani kulivyo kugumu , hasa kwa wasaka tonge kama mm

Sasabasi, ajitokeze mwana mwenye dili ngumu ili tushiriki wote hiyo ‘National cake ‘. Niko tayari

Wasiotakiwa hapa ni wafuatao;
Wale wa fanya kazi halali
Mlioko kwenye system , hamtakiwi kabisa

#Nasubiri

@leodada
@nelsonjacobkagame

Kwa hiyo sasa ni mwiba, badala ya vyuma kukaza.
 
Hakikisha hauna familia nyuma uliyoaacha ya kuanza kuionea huruma.

Kama utakuwa hujaoa kabisa wala hauna mtu unaye mpenda sana itakuwa vizuri.

Hii ni kazi kazi sio kuja kupaka poda ni msitu kwa msitu kama kweli unaumizwa na hali ya umasikini wa jamii yako huku wengine wakitumbua tu mali.

Nitafute.

NARUDIA TENA VIJANA WALIO JIKANA NAFSI ZAO SIO WATOTO WA MAMA
 
Back
Top Bottom