Maisha yamekuwa mwiba mtaani

Maisha yamekuwa mwiba mtaani

Wasalaam

Wakuu, kila mmoja hapa anashuhudia mtaani kulivyo kugumu , hasa kwa wasaka tonge kama mm

Sasabasi, ajitokeze mwana mwenye dili ngumu ili tushiriki wote hiyo ‘National cake ‘. Niko tayari

Wasiotakiwa hapa ni wafuatao;
Wale wa fanya kazi halali
Mlioko kwenye system , hamtakiwi kabisa

#Nasubiri

@leodada
@nelsonjacobkagame
Mshirikishe Mwenyezi Mungu katika yote atakuonyesha njia, usikate tamaa ....

zidisha juhudi katika kufanya kazi, kwani mtaji ulionao ni nguvu zako mwenyewe 🐒
 
Hakikisha hauna familia nyuma uliyoaacha ya kuanza kuionea huruma.

Kama utakuwa hujaoa kabisa wala hauna mtu unaye mpenda sana itakuwa vizuri.

Hii ni kazi kazi sio kuja kupaka poda ni msitu kwa msitu kama kweli unaumizwa na hali ya umasikini wa jamii yako huku wengine wakitumbua tu mali.

Nitafute.

NARUDIA TENA VIJANA WALIO JIKANA NAFSI ZAO SIO WATOTO WA MAMA
Kazi haramu
 
Back
Top Bottom