Enter Passcode
JF-Expert Member
- Mar 1, 2024
- 479
- 942
- Thread starter
- #21
Poa Muoga asikuja huku ,onesha vitendo tu Natafuta vijana ambao sio waoga kabisa wa maisha na wamechoshwa na hali ya umasikini waliyo nayo.
NARUDIA TENA KWA MAANDISHI MAKUBWA SIO WAOGA KABISA.
VIJANA WAOGA SIWATAKI KABISA.
Story zinakua nyingi sasaUnaweza kukusanya vijana wenzako wenye hali mbaya kiuchumi ?
Kama utaweza kushawishi na wasomi wasio na ajira wasio na mbele wala nyuma utakuwa umefanya vizuri.
Kama unaweza hayo wewe ni mtu sahihi nina muhitaji mkiwa wengi ni jambo jema