bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Jaribuni hata nje ya nchi yakigoma na huko kaoge maji ya bahari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kazi haramu mawazo yako tu na pia sio kazi hakuna ela utapata ni kutekeleza wajibu tu wa kujikomboa wewe na jamii yako katika umasikini kama wewe ni mtoto wa mama huwezi ni vyema kuachia wanaoweza.Kazi haramu
Nimejarbu mbonaJaribuni hata nje ya nchi yakigoma na huko kaoge maji ya bahari
Umeshawahi kujisughurisha na nini,na nini kilikukwamisha,Wasalaam
Wakuu, kila mmoja hapa anashuhudia mtaani kulivyo kugumu , hasa kwa wasaka tonge kama mm
Sasabasi, ajitokeze mwana mwenye dili ngumu ili tushiriki wote hiyo ‘National cake ‘. Niko tayari
Wasiotakiwa hapa ni wafuatao;
Wale wa fanya kazi halali
Mlioko kwenye system , hamtakiwi kabisa
#Nasubiri
@leodada
@nelsonjacobkagame
Nimepoteza zaidi ya M1 pale ilala ya tangawizi na vitunguuUmeshawahi kujisughurisha na nini,na nini kilikukwamisha,
1:Nilisoma msingi to Sec nikafeli.
2:Nikaingia Ubungo kuuza maji ndani ya stand ya daladala ya Ubungo ya zamani karibu na Jengo la tanesco,na biashara nyengine ndogo ndogo mitaa ile.
3:Baada ya Mwaka nikarudi the Shule ku rudia Pepa ilinilazimu nirudie kidato cha tatu ili baadhi ya masomo niyaweze vizuri
4:Nikapiga Pepa matokeo yakaja ila sikuyafurahia sana kutokana na muda na nguvu nilizo wekekeza.
5:Nikaingia mtaani ufundi ujenzi nikaondoka na ujuzi wa Fundi tiles.
6:Sikurudhika nikarudi VETA kuangalia kama zile Credit zitanisaidia sana sana pale VETA,Nikapiga Mwaka mmoja koz fulani baadae nikaona napoteza muda.
7:Nikarudi tena mtaani kwenye ufundi ujenzi nisake Hela ili niangalie Utandawazi unakuja na nini leo ili ni uvamie.
8:Nikapata Hela nikaenda nunua Nyanya Iringa Ilula nikapeleka Zanzibar ☺️☺️☺️ mzigo ukatiki nikaona njia ya kutoboa ni kununua mazao kisha kuvusha kupeleka Zanzibar.
9:Wazanzibari wakaniagiza niwaletee VITUNGUU kwa kuwa kule Kuna Uhaba wa Bidhaa hiyo.
10:Nikarudi IRINGA MTANDIKA B mbele kidogo ya RUAHA MBUYUNI.
11:Nikausoma mchezo pale nikapelekwa kijijini huko nikakuita vijana wamechanganyikiwa na kupiga Hela kwenye Biashara ya KILIMO hapo nikakutana na MADALALI baada ya muda Nikapata gunia kama 7 hivi.
12:Gunia moja wakati huo Dar kinauzwa karibu Tsh 150K mjini D'slam,ila vikiwa ni VITUNGUU Bora hasa na wakati huo vilikuwa vinapatikana SINGIDA ila kutokana na kutokuwa na uzoefu me nilienda kununua njia ile ile nilipo nunua nyanya.
13:Nikapewa mzigo sio yani Mzigo nilio pewa ni vile VITUNGUU vilivyo toka kuvunwa Mimi hapo sijui.
14:Mzigo upo kwenye gari narudi wengi wetu wakanishawishi ya kuwa Mzigo wako Bora uushushe MOROGORO kwa kuwa VITUNGUU vyangu vinaota Yani ni vile VITUNGUU ambavyo vilivunwa na vilikuwa havijakomaa vizuri.
15:Nikashusha mzigo mitaa ya MOROGORO nikafikisha soko la Mawenzi kama sikosei nafkiri,mbaya zaidi mzigo hautaki kielewa juu ya kutokuota,na mzigo ukawa unamchanganya kinoma kwenye Kuota.
16:Mvua inapigwa kinoma kwenye Mitaa ya MOROGORO na kama mnavyo jua mazingira yetu ya masoko na hali ya Mvua,nikawa naogopa hata kwenda sokoni maana kile nilicho kitarajia kimekufa,malengo yanapotea.😭😭😭 Huku hasira za mara kwa mara zikinijia
17:Mzigo ukakata kinoma kutoka kwenye gunia 6 karibu 7 Nikapata Gunia mbili na Nikapata kama kiasi Cha Tsh 200K.
18:Nikarudi mtaani Nikaingia kwenye Udereva...
Story ndefu kidogo.....
Jee una nini kichwani umekishikilia na unajua kukifanya ipasavyo?
Pole sana mkuuNimepoteza zaidi ya M1 pale ilala ya tangawizi na vitunguu
Mtoto kimawazo kale ubwabwa shemu kashaivishaKuna watu wanasetiwa hapa, wakijaa tu imoooo,
Tupo hapa kutoa pole.
SawaKuwa karibu na waliofanikiwa wakupe siri
Safi sana. Death is a natural process where by material form are thrown into the crucible for fresh diversity. There is nothing to fear..Napenda transition (kufa)
Kazi gani hiyo ya halali afu ujikane, usiwe na mtu unampenda, usiwe na tegemezi akimaanisha yaani hata ukifa hauna cha kupoteza! Au ni wale matapeli wanajifanyaga alwatani mjini anakutisha tisha mazingira ya kazi magumu, inatakiwa kukaza mwisho wa siku anakupiga kiasi cha pesa lete tufanye harakati za visa mtu anapigwa na mishe inakuwa imeisha ivoKumbe wewe umeshapata picha.
Hapo shida ipo kwenye fikra zakoNimejarbu mbona
Pm haifungukiKazi gani hiyo ya halali afu ujikane, usiwe na mtu unampenda, usiwe na tegemezi akimaanisha yaani hata ukifa hauna cha kupoteza! Au ni wale matapeli wanajifanyaga alwatani mjini anakutisha tisha mazingira ya kazi magumu, inatakiwa kukaza mwisho wa siku anakupiga kiasi cha pesa lete tufanye harakati za visa mtu anapigwa na mishe inakuwa imeisha ivo
Hoja?Hapo shida ipo kwenye fikra zako
Asilimia kubwa ni utapeli, lakini kwa upande mwingine, labda kwenda kupigana Ukraine.Kazi gani hiyo ya halali afu ujikane, usiwe na mtu unampenda, usiwe na tegemezi akimaanisha yaani hata ukifa hauna cha kupoteza! Au ni wale matapeli wanajifanyaga alwatani mjini anakutisha tisha mazingira ya kazi magumu, inatakiwa kukaza mwisho wa siku anakupiga kiasi cha pesa lete tufanye harakati za visa mtu anapigwa na mishe inakuwa imeisha ivo
😁😁😁Kukimbia na mzigo wa kilo 120 gizani ukiwa umeweka kwenye Bega unaweza?
Achana nayo.....usitake maisha shortcut ukute hapo ni umehitimu degree yako mwaka jana au juzi, wenzio miaka 10 wamesota na hakuna kukata tamaaPm haifunguki
Unahisi tuAchana nayo.....usitake maisha shortcut ukute hapo ni umehitimu degree yako mwaka jana au juzi, wenzio miaka 10 wamesota na hakuna kukata tamaa
Hakuna cha Ukraine hapo mishe itapigwa hapa hapa bongo apate pesa ya kodi...nimewaza tuAsilimia kubwa ni utapeli, lakini kwa upande mwingine, labda kwenda kupigana Ukraine.
Lakini kama ni kuanzisha vikundi ndani ya Tanzania, ni kitu ambacho hakiwezekani.