min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Apr 2, 2024 #101 Enter Passcode said: Hata kuli sokon na ulinzi mpaka connection,inasikitisha Click to expand... Sio kweli mkuu😁
Enter Passcode said: Hata kuli sokon na ulinzi mpaka connection,inasikitisha Click to expand... Sio kweli mkuu😁
E Enter Passcode JF-Expert Member Joined Mar 1, 2024 Posts 479 Reaction score 942 Apr 2, 2024 Thread starter #102 Sichan min -me said: Sio kweli mkuu😁 Click to expand... gamshi genge hapa mkuu
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Apr 2, 2024 #103 Ebu zungusha birika la kahawa asubuhi na jioni maeneo ya vituo vya mabasi, uweze kuona mzunguko wa hela ulivyo; muhimu aibu weka pembeni
Ebu zungusha birika la kahawa asubuhi na jioni maeneo ya vituo vya mabasi, uweze kuona mzunguko wa hela ulivyo; muhimu aibu weka pembeni
C captain 6 Senior Member Joined May 7, 2024 Posts 132 Reaction score 110 Oct 21, 2024 #104 Mto Songwe said: Nitumie namba yako PM Ila kumbuka sio kazi ya kuchoma mkaa au kubeba magogo ni tofauti Click to expand... Kama ya kutembea na vichwa vya watu mimi nipo tayar mkuu
Mto Songwe said: Nitumie namba yako PM Ila kumbuka sio kazi ya kuchoma mkaa au kubeba magogo ni tofauti Click to expand... Kama ya kutembea na vichwa vya watu mimi nipo tayar mkuu
C captain 6 Senior Member Joined May 7, 2024 Posts 132 Reaction score 110 Oct 21, 2024 #105 Riskytaker said: Utapanga na mtu mtakutana mtaset mipango ya kupata pesa kinyume na sheria suddenly yaani immediately unashanga unatiwa pingu Click to expand... Mbaya zaidi ao wanaotia pingu wenziwao ndio wezi na walanguzi wa kutosha
Riskytaker said: Utapanga na mtu mtakutana mtaset mipango ya kupata pesa kinyume na sheria suddenly yaani immediately unashanga unatiwa pingu Click to expand... Mbaya zaidi ao wanaotia pingu wenziwao ndio wezi na walanguzi wa kutosha