Binti Sayuni03
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 1,075
- 1,913
- Thread starter
- #41
Pengine kuna sababu nyingine, mimi sijaijua badoHuwezi shushwa ualimu mkuu kwaajili hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengine kuna sababu nyingine, mimi sijaijua badoHuwezi shushwa ualimu mkuu kwaajili hiyo
Kikubwa Katika vyote usiombe kuugua ukichaa/ wehu.Kawaida... ndiyo maisha yalivyo
Leo unatembea kesho kiwete
Leo unaona kesho kipofu
Yaan mambo kubadilika ni kawaida sana
Hakuna aijuaye kesho mkuu
😅😅😅Haya sawa
Mwengine aje
Amen 🙏Kikubwa Katika vyote usiombe kuugua ukichaa/ wehu.
All in all,
Mwenyezi Mungu atupe mwisho mwema.
Mshahara anapata lakini pungufu hawezi kulipwa kama mwanzoHicho n cheo tu...vip mshahara hapati? Kama hapati basi maisha yamembadilikia.
Mzee unashushwa Mbona anytime mzee.Huwezi shushwa ualimu mkuu kwaajili hiyo
kama alistaafu sawa lakin kama yupo kazini mshahara upo pale pale kilichopungua kwake ni posho ya madaraka..kwahyo huwezi shindana na mtumishi hata kidogo.Mshahara anapata lakini pungufu hawezi kulipwa kama mwanzo
Nijuavyo mimi mwalimu wa kawaida na mwalimu mkuu mshahara haulinganikama alistaafu sawa lakin kama yupo kazini mshahara upo pale pale kilichopungua kwake ni posho ya madaraka..kwahyo huwezi shindana na mtumishi hata kidogo.
Nijuavyo mimi mwalimu wa kawaida na mwalimu mkuu mshahara haulingani
[/QUOTEakishushwa cheo mshahara unabaki pale pale isipokuwa posho ndo inaodoka
Hakuna mshahara wa mwalimu mkuuHicho n cheo tu...vip mshahara hapati? Kama hapati basi maisha yamembadilikia.
Nimesema hawezi kushushwa kwaajili hiyo.Mzee unashushwa Mbona anytime mzee.
Nina ushahidi mtu alikua MRATIBU ELIMU ngazi ya juu baada ya ualimu mkuu.
MRATIBU ELIMU WA KATA NA KAONDOLEWA KARUDISHWA KUFUNDISHA TENA MWALIMU WA KAWAIDA.
Hakuna mshahara wa mwalimu mkuuMshahara anapata lakini pungufu hawezi kulipwa kama mwanzo
AminaKikubwa Katika vyote usiombe kuugua ukichaa/ wehu.
All in all,
Mwenyezi Mungu atupe mwisho mwema.
Kuna allowances a.k.a POSHOHakuna mshahara wa mwalimu mkuu
Boss, niliyemquote alisema mshahara anapata ila pungufu. Ndiyo maana jibu langu likawa "Hakuna mshahara wa Mwalimu Mkuu"Kuna allowances a.k.a POSHO
Kupita na walimu wazuri.Kwani mwalimu mkuu anakuwaga na perks Gani za msingi na muhimu kuzidi wenzake??
Maana usikute ni kama Mkt wa mtaa TU, Taito kubwa mfukoni patupu.
Kwani kua mualimu mkuu wa shule ya msingi ya st kayumba ndo cheo kikumbwa kiasi hicho??? Mbona nyie mnaridhika haraka.Habarini za wakati huu wana jamii forums, ni matumaini yangu mu wazima, kwa wale wenye changamoto za kiafya Mungu awafanyie wepesi.
Kuna kisa kilitokea miaka kadhaa iliyopita, nimekikumbuka nimeona nishee hapa jukwaani.
Shule ya msingi niliyosoma, mwalimu wetu mkuu ndiyo alikuwa anatufundisha Hesabu I mean Hisabati kwa shule zetu za St. Kayumba sasa kutokana na walimu wakuu kuwa na majukumu mengi ilikuwa ngumu kwake kufundisha sawasawa na ratiba.
Nakumbuka tulikuwa wanafunzi karibia 183 wa darasa la 7, baada ya mtihani wa taifa tuliofaulu kwenda sekondari ilikuwa ni idadi ndogo ukilinganisha idadi ya waliofeli, hii haikuwa rekodi nzuri kabisa.
Kutokana na hii rekodi mbovu ya matokeo, yule mwalimu mkuu alishushwa cheo kutoka kuwa mwalimu mkuu hadi kuwa mwalimu wa kawaida, hii haikuwa kitu kizuri.
Sasa mimi ninapokaa ni karibu na shule ya msingi, huwa nikipita kila siku asubuhi kwenda kibaruani, huwa namuona sasa sijajua kama aliomba uhamisho kutokana na aibu ya kushushwa cheo au alipangiwa hii shule aliyopo sasa hivi.
Binafsi nimemuonea huruma sana mwalimu wangu mkuu wa shule ya Msingi, lakini nimejifunza kuwa unapokuwa juu usijisahau muda wowote unaweza kudondoka, hakikisha unafanya juhudi zitakazokuzuia ukidondoka usiumie.