Naunga mkono hoja...hasa ukute ni mlokolekwa uzoefu wangu katika haya maisha mara nyingi sana watu wenye ishu ishu za udini huwa ni masikini wa kutupa
Hapo utatufirisi siyo SiriKama mimi tu😬
Hahaha uongo bwana!Hapo utatufirisi siyo Siri
Mbona mimi sio masikini wa kutupa😖Naunga mkono hoja...hasa ukute ni mlokole
Unajua umri na shape vinatufirisi si mchezoHahaha uongo bwana!
Hahah sasa kama hao utawahonga nini?Unajua umri na shape vinatufirisi si mchezo
Hakuna mkate mgumu kwa chai.Hahah sasa kama hao utawahonga nini?
Hawa sasa ndio wanapenda Vita
Hahahaa ngoja tuonee..Hakuna mkate mgumu kwa chai.
Ulitakaje?Hawa sasa ndio wanapenda Vita
Wapende Vita hivyo hivyo ila wasianze kulia kwamba wakishazaa wasikae miezi nyumbani miezi 3 ila wakae nyumbani kuanzia miezi 6 hadi Mwaka Mzima mpaka mtoto akue ndio warudi kazini, hakuna boss wa hivyoUlitakaje?