johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hata wewe mwagito umeachana na ule msemo wa "Maendeleo hayana Chama" sasa hivi umehamia "Kazi iendelee"Ni kweli kuna wizara kubwa na ndogo kwa mfano Waziri Jaffo zamani alikuwa akisimama bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya zaidi ya tsh 3 trilioni lakini leo hii amesimama pale pale bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya tsh 28 bilioni.
Lakini mwendazake Magufuli alipounda baraza hili la mawaziri alisema hakuna wizara kubwa wala ndogo zote ziko sawa.
Kazi Iendelee!
Great failure, huyu anafaa asimamie bajeti ya msiba huenda ndio akaiwezaNi kweli kuna wizara kubwa na ndogo kwa mfano Waziri Jaffo zamani alikuwa akisimama bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya zaidi ya tsh 3 trilioni lakini leo hii amesimama pale pale bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya tsh 28 bilioni.
Lakini mwendazake Magufuli alipounda baraza hili la mawaziri alisema hakuna wizara kubwa wala ndogo zote ziko sawa.
Kazi Iendelee!
Ameshushwa mshahara?Ni kweli kuna wizara kubwa na ndogo kwa mfano Waziri Jaffo zamani alikuwa akisimama bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya zaidi ya tsh 3 trilioni lakini leo hii amesimama pale pale bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya tsh 28 bilioni.
Lakini mwendazake Magufuli alipounda baraza hili la mawaziri alisema hakuna wizara kubwa wala ndogo zote ziko sawa.
Kazi Iendelee!
Nakumbuka alienda site akamsuta mkandarasi hadi akazimia.Great failure, huyu anafaa asimamie bajeti ya msiba huenda ndio akaiweza
Hata kama! Marupurupu na bahasha za khaki ndiyo kila kitu! Tamisemi posho na bahasha ni nyingi ukilinganisha na huko aliko.Mshahara si ule ule na Vi-eite si bado lipo ?
Ndoto za mchana hizi! Yaani Jaffo aje awe Rais!! Simdharau, ila binafsi namuona kabisa kama mtu asiyetosha kupewa hiyo dhamana.Ht mwendazake alitoka Miundo Mbinu akapelekwa mifugo na uvuvi ila baadae akawa Raisi...Mama Samia nae alikua wizara hio hio aliyopo Jafo ila leo ni Raisi...kushuka na kupanda ni sehem ya Maisha...Huwezi Jua atakuja kua nani siku za usoni.
Shida ya Tamisemi unamulikwa sana... huko alipo akiwa mjanja ni rahisi kula na kipofu...mwisho wa siku anamaliza miaka yakw mitano ametuliaHata kama! Marupurupu na bahasha za khaki ndiyo kila kitu! Tamisemi posho na bahasha ni nyingi ukilinganisha na huko aliko.
Jamaa alikuwa anapiga sana misele kukagua miradi ya bosi wake! Zile zote zilikuwa ni hela! Full Per diem! Sasa huko aliko anahangaika tu kukagua maji machafu ya kwenye viwanda!
Alitakiwa apewe Wizara ya Habari akakae na Msigwa kule wapigwe vumbi tu.Tena hizo bado ni nyingi sana kwa huyu mswahili.
Ajue kwamba kule ni ofisi yenye jina kubwa lakini njaa kali.Ni kweli kuna wizara kubwa na ndogo kwa mfano Waziri Jaffo zamani alikuwa akisimama bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya zaidi ya tsh 3 trilioni lakini leo hii amesimama pale pale bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya tsh 28 bilioni.
Lakini mwendazake Magufuli alipounda baraza hili la mawaziri alisema hakuna wizara kubwa wala ndogo zote ziko sawa.
Kazi Iendelee!
Mwagito msameheni bure DC Kasesela!Hata wewe mwagito umeacha na ule msemo wa "Maendeleo hayana Chama" sasa hivi umehamia "Kazi iendelee"
Kama siyo March 17 haya mabadiliko tusingeyaona kwako.
Maisha yanaenda kasi sana.
Ngoja nijisogeze kwenye kigae changa hapa maana baridi la June limeanza mapema sana mwaka huu