Maisha yanaenda kasi; Jaffo kutoka kusimamia bajeti ya Tsh 3 trilioni TAMISEMI hadi 28 bilioni Muungano na Mazingira

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni kweli kuna Wizara kubwa na ndogo kwa mfano Waziri Jaffo zamani alikuwa akisimama bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya zaidi ya tsh 3 trilioni lakini leo hii amesimama pale pale bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya tsh 28 bilioni.

Lakini mwendazake Magufuli alipounda baraza hili la mawaziri alisema hakuna wizara kubwa wala ndogo zote ziko sawa.

Kazi Iendelee!
 
Ni kweli kuna wizara kubwa na ndogo kwa mfano Waziri Jaffo zamani alikuwa akisimama bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya zaidi ya tsh 3 trilioni lakini leo hii amesimama pale pale bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya tsh 28 bilioni.

Hata wewe mwagito umeachana na ule msemo wa "Maendeleo hayana Chama" sasa hivi umehamia "Kazi iendelee"

Kama siyo March 17 haya mabadiliko tusingeyaona kwako.

Maisha yanaenda kasi sana.

Ngoja nijisogeze kwenye kigae changu hapa maana baridi la June limeanza mapema sana mwaka huu
 
Ni kweli kuna wizara kubwa na ndogo kwa mfano Waziri Jaffo zamani alikuwa akisimama bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya zaidi ya tsh 3 trilioni lakini leo hii amesimama pale pale bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya tsh 28 bilioni.

Lakini mwendazake Magufuli alipounda baraza hili la mawaziri alisema hakuna wizara kubwa wala ndogo zote ziko sawa.

Kazi Iendelee!
Great failure, huyu anafaa asimamie bajeti ya msiba huenda ndio akaiweza
 
Ni kweli kuna wizara kubwa na ndogo kwa mfano Waziri Jaffo zamani alikuwa akisimama bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya zaidi ya tsh 3 trilioni lakini leo hii amesimama pale pale bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya tsh 28 bilioni.

Lakini mwendazake Magufuli alipounda baraza hili la mawaziri alisema hakuna wizara kubwa wala ndogo zote ziko sawa.

Kazi Iendelee!
Ameshushwa mshahara?
 
Kapunguziwa stress, atanenepa zaidi. Hakuna "effect on income" ila kuna KUPOROMOKA SANA KISIASA.. Kama alikuwa na ndoto ya kuwa Waziri mkuu au Rais basi hilo ni DOA KUU, Bashiru halikadhalika
 
Haya maisha yanaenda kasi to selected few.

Some of us tuko active bado kwenye ajira portal na hizo biashara zinagomba kama mwaka juzi
 
Ht mwendazake alitoka Miundo Mbinu akapelekwa mifugo na uvuvi ila baadae akawa Raisi...Mama Samia nae alikua wizara hio hio aliyopo Jafo ila leo ni Raisi...kushuka na kupanda ni sehem ya Maisha...Huwezi Jua atakuja kua nani siku za usoni.
 
Mshahara si ule ule na Vi-eite si bado lipo ?
Hata kama! Marupurupu na bahasha za khaki ndiyo kila kitu! Tamisemi posho na bahasha ni nyingi ukilinganisha na huko aliko.

Jamaa alikuwa anapiga sana misele kukagua miradi ya bosi wake! Zile zote zilikuwa ni hela! Full Per diem! Sasa huko aliko anahangaika tu kukagua maji machafu ya kwenye viwanda!
 
Ht mwendazake alitoka Miundo Mbinu akapelekwa mifugo na uvuvi ila baadae akawa Raisi...Mama Samia nae alikua wizara hio hio aliyopo Jafo ila leo ni Raisi...kushuka na kupanda ni sehem ya Maisha...Huwezi Jua atakuja kua nani siku za usoni.
Ndoto za mchana hizi! Yaani Jaffo aje awe Rais!! Simdharau, ila binafsi namuona kabisa kama mtu asiyetosha kupewa hiyo dhamana.
 
Hata kama! Marupurupu na bahasha za khaki ndiyo kila kitu! Tamisemi posho na bahasha ni nyingi ukilinganisha na huko aliko.

Jamaa alikuwa anapiga sana misele kukagua miradi ya bosi wake! Zile zote zilikuwa ni hela! Full Per diem! Sasa huko aliko anahangaika tu kukagua maji machafu ya kwenye viwanda!
Shida ya Tamisemi unamulikwa sana... huko alipo akiwa mjanja ni rahisi kula na kipofu...mwisho wa siku anamaliza miaka yakw mitano ametulia
 
Ni kweli kuna wizara kubwa na ndogo kwa mfano Waziri Jaffo zamani alikuwa akisimama bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya zaidi ya tsh 3 trilioni lakini leo hii amesimama pale pale bungeni kuomba kupitishiwa bajeti ya tsh 28 bilioni.

Lakini mwendazake Magufuli alipounda baraza hili la mawaziri alisema hakuna wizara kubwa wala ndogo zote ziko sawa.

Kazi Iendelee!
Ajue kwamba kule ni ofisi yenye jina kubwa lakini njaa kali.
 
Hata wewe mwagito umeacha na ule msemo wa "Maendeleo hayana Chama" sasa hivi umehamia "Kazi iendelee"

Kama siyo March 17 haya mabadiliko tusingeyaona kwako.

Maisha yanaenda kasi sana.

Ngoja nijisogeze kwenye kigae changa hapa maana baridi la June limeanza mapema sana mwaka huu
Mwagito msameheni bure DC Kasesela!
 
Back
Top Bottom