Maisha yanaenda kasi sana, Eti Shilole naye ana msanii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ndiyo maana bongo fleva imepoteza mvuto siku hizi, wanapitwa hata na wasanii wa singeli
 
SHISHI GANG [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi mbona naona ni kitu kizuri?

Jamaa ni mpishi lakini anatimiza ndoto yake ya kuimba, huku akiendelea na majukumu yake ya upishi.
Anastahili pongezi na support.
Kwa msanii hapo anamshusha brand angalau kidogo angekuwa msanii wa maigizo na si mwanamuziki.

Watu wanamlipa msanii kulingana na brand yake ikoje mf DVoice wa Leo thamani yake si sawa na DVoice aliyekuwa nje ya WCB.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…