Huo ujinga umenifanya nisiwasikilize tena.Clouds muda wote ni matangazo ya mchongo pesa [emoji3]
Hakikaa na ndio aliyebaki pale na nazan anausoma mchezo muda c muda atasepa zake Kutafuta maslai zaidii..Ila akiwepo Amri kiemba unapata facts
Tunatofautiana huku chuga ikifika saa tatu uck show ya michezo ndio inasikilizwa mawingu fm Kona zoteKwa kweli Wasafi na EFM wameleta mapinduzi makubwa sana kwenye vipindi vya michezo kuanzia kwenye kuhabarisha na kuchambua.
Yaani ukikaa juu sana jua unakaribia kudondoka hii nimeiona Kwa hawa CMG, kwanza siyo kila habari ni ya kuhabarisha yani leo hii clouds mnaanza ku report sijui league na uchaguzi wa viongozi wa mikoa kama katavi halafu mnategemea nisi switch efm na wasafi kwenye habari zinazo make headline na uchambuzi wa kiufundi.
Kwaherini mawinguni nimehamia EFM na Wasafi
Kipindi kikubwa cha michezo Tanzania muda huo wa saa tatu kamili radio nyingine wameukimbia wanajua Sports Extra ni dude linabeba michezo yote ,na habari za michezo ,zikiwemo siasa za michezoTatizo lenu watanzania wengi mnapenda mda wote ziongelewe tu timu zenu kulwa na doto,sasa unataka mambo na mada nyingine zakimichezo zikazungumziwe kwenye kipindi cha mahaba au siasa? Habari zote za ndondi,mpira wa pete,riadha,kuogelea,pooltable,bao n.k zinatakiwa ziende kwa hewa kupita kipindi cha michezo sio kila siku mpira tu!
Wale U-live wapo vizuri sana hasa pair ya Kawambwa, Mwamnyanyi na HieraU fm ndiyo radio ya kuskiliza uchambuz wa michezo.. wasafi n utumbo mtupu
Hili linanikera sanaClouds muda wote ni matangazo ya mchongo pesa [emoji3]