Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Hatari sana ....Hii nchi siku nzima ni uchambuzi tu. Asubuhi uchambuzi, mchana uchambuzi, usiku uchambuzi vijana wamejaza ujinga vichwani.
Taifa jipya la mazombi yanayosumbuliwa na kirusi cha "UCHAMBUZI"
Tumetengeneza kizazi cha wacheza kamari/ wabahatishaji.