Maisha yanaenda kasi sana leo Sport Extra ya clouds ni kama enzi za RTD

Hivi ni kwanini redio zisiwe na vipindi virefu vya kuchambua kilimo ambayo ni sekta mama ya uchumi, badala ya michezo ambayo inapoteza muda mwingi bila tija?
Nasikia eti biashara ni kuuuza wanachohitaji Wateja sio unachodhani wewe kwamba ni cha muhimu kwao[emoji3]
 
radio itabiri mvua badala ya kutabiri mechi ambayo ni ajira ya vijana?
 
Kwani kipindi cha michezo efm na wasafi ni saa ngapi vinaanza?
 
Kwa kweli Wasafi na EFM wameleta mapinduzi makubwa sana kwenye vipindi vya michezo kuanzia kwenye kuhabarisha na kuchambua.

Yaani ukikaa juu sana jua unakaribia kudondoka hii nimeiona Kwa hawa CMG, kwanza siyo kila habari ni ya kuhabarisha yani leo hii clouds mnaanza ku report sijui league na uchaguzi wa viongozi wa mikoa kama katavi halafu mnategemea nisi switch efm na wasafi kwenye habari zinazo make headline na uchambuzi wa kiufundi.

Kwaherini mawinguni nimehamia EFM na Wasafi
Ulitaka zikaripotiwe wapi hili ndio tatizo la kuvamia spoti kwa dhumuni la mikeka tu!
 
Nasikia eti biashara ni kuuuza wanachohitaji Wateja sio unachodhani wewe kwamba ni cha muhimu kwao[emoji3]
Kupanga ni kuchagua. Nikisikia kipindi cha michezo huwa ninabadili stesheni.

Huwa ninapenda mada zenye mantiki kwangu na siyo kipindi cha masaa matatu mfululizo.

Zamani michezo ilikuw inapewa muda kati ya dakika 15-45 tu. Yaani unapashwa headline basi.
 
Ndio ujue kwamba tuna kizazi kibovu sana mkuu. Hii ni dalili mojawapo!
 
Hivi ni kwanini redio zisiwe na vipindi virefu vya kuchambua kilimo ambayo ni sekta mama ya uchumi, badala ya michezo ambayo inapoteza muda mwingi bila tija?

Hii nchi siku nzima ni uchambuzi tu. Asubuhi uchambuzi, mchana uchambuzi, usiku uchambuzi vijana wamejaza ujinga vichwani.

Taifa jipya la mazombi yanayosumbuliwa na kirusi cha "UCHAMBUZI"
 
Kwa kweli Wasafi na EFM wameleta mapinduzi makubwa sana kwenye vipindi vya michezo kuanzia kwenye kuhabarisha na kuchambua.

Yaani ukikaa juu sana jua unakaribia kudondoka hii nimeiona Kwa hawa CMG, kwanza siyo kila habari ni ya kuhabarisha yani leo hii clouds mnaanza ku report sijui league na uchaguzi wa viongozi wa mikoa kama katavi halafu mnategemea nisi switch efm na wasafi kwenye habari zinazo make headline na uchambuzi wa kiufundi.

Kwaherini mawinguni nimehamia EFM na Wasafi
Unaweza kuwa, juu, na, ukaendelea, kuwa juu zaidi, Vodacom haijawahi kushuka kwa viwango, shabiby bus service inazidi kupanda juu, wapo wengine, ABC, Saul nk, lakini shabiby bado wapo juu,
Kubaki, juu inataka strategies.
 
Tatizo Cloudz wanajifanya akili nyingi, ubunifu mwingi na wanataka kuwa tofauti..,ila mm naona ndio wanazidi kuharibu.
Kuna kipindi sijui kama mpaka sasa wanafanya hivyo, utakuta labda kuna habari muhimu nataka kuisikiliza vizuri kwasababu wengn huwa tunavhelewa kurudi kwaiyo tunasikiliza SportsExtra, wnyw badala ya kuanza na hizo habari wanaanza kuchambua ligikuu ya Uingereza eti wawe tofauti na wngn, mm nikawa nazima sisikilizi tena.
 
Hivi ni kwanini redio zisiwe na vipindi virefu vya kuchambua kilimo ambayo ni sekta mama ya uchumi, badala ya michezo ambayo inapoteza muda mwingi bila tija?
Mbona humu uchambuzi wa kilimo umedorora ? Watanzania wa kwenye redio/tv ni yofauti na wa himu JF ?
Habari za uchumi kilimo teknolojia elimu sio kipaumbele cha Tanzania.
Tanzania ni udaku michezo, tamthilua za kikorea, na siasa za kulaumu.
We are very careless people kulinganisha na wabantu wenzetu nje China, USA , Korea.

Imagine ktk mlipuko wa AI teknology hakuna hamasa yoyote ya sisi ku shift toward AI tutakuja kuanza kukimbizana kimbiza kwa kukurupuka wakati wenzetu washakuwa sawa na hio teknolojia.
Wenzetu wanaweka mijadala na mopango jinsi ya kuishi na AI sisi kimya tu.
Kwa hio TZ imejiridhikia na hatua duni iliopo usitegemee mijadala unayoitaka kwenye media.
 
Back
Top Bottom