Maisha yanakufundisha nini wakati huu?

Maisha yanakufundisha nini wakati huu?

Mungu anajibu na kusikia maombi yetu, ni papara tuliyonayo na kutokua na imani tu inatufanya tukose utulivu wakati kumwomba na mwisho wasiku hatupati majibu, ila tukitulia vizuri na kumwomba hakika hakuna zito kwake
Kabisa baba nakuonga mkono

Na kingine hatuna consistency ya kuomba tunataka tujibiwe then tusepe tusirudi tukirudi basi turudi tukuwa na shida saaana
 
Kabisa baba nakuonga mkono

Na kingine hatuna consistency ya kuomba tunataka tujibiwe then tusepe tusirudi tukirudi basi turudi tukuwa na shida saaana
Plus kupata majibu tuyatakayo bila kujua hili kakunyima kuna kheri amekuandalia na hili alilokunyima huenda likawa na Shari kwako

Japo mimi sio baba
 
Back
Top Bottom