Maisha yanakufundisha nini wakati huu?

Maisha yanakufundisha nini wakati huu?

Mbali na kunifundisha, tayari yamesha nichanganya
20250111_201008.jpg
 
kujitegemea bila kazi rasmi ni mziki mwengine yan ulipe kodi, nauli na ule bila kazi ya uhakika ni balaa
 
Usimtegemee mtu mpaka akajua kwani atakubuluza kama sio kukunyanyasa maisha yako yote.....
 
Back
Top Bottom