Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 815
- 1,983
π€π€Kuona aibu
1. Mungu kwanza ili upate marifaMaisha yanakufundisha nini wakati huu?
πππusimpende mwanamke ishi naye kimachale
Una maanisha niniUnga sio akiba
Kabisa baba nakuonga mkonoMungu anajibu na kusikia maombi yetu, ni papara tuliyonayo na kutokua na imani tu inatufanya tukose utulivu wakati kumwomba na mwisho wasiku hatupati majibu, ila tukitulia vizuri na kumwomba hakika hakuna zito kwake
Plus kupata majibu tuyatakayo bila kujua hili kakunyima kuna kheri amekuandalia na hili alilokunyima huenda likawa na Shari kwakoKabisa baba nakuonga mkono
Na kingine hatuna consistency ya kuomba tunataka tujibiwe then tusepe tusirudi tukirudi basi turudi tukuwa na shida saaana
Pole sana ndugu yanguOgopa biashara kula mweleka ππππ
Nashukuru I'm strong enough to handle this