Maisha yanakufundisha nini wakati huu?

kujitegemea bila kazi rasmi ni mziki mwengine yan ulipe kodi, nauli na ule bila kazi ya uhakika ni balaa
 
Usimtegemee mtu mpaka akajua kwani atakubuluza kama sio kukunyanyasa maisha yako yote.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…