Smart Gang
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 2,013
- 3,406
Money summaries everythingUkifanikisha cha tatu, kitatatua hizo zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Money summaries everythingUkifanikisha cha tatu, kitatatua hizo zote
Walisema zamani:Chakula,Mavazi na Malazi,Tokes happo sogelea"Man's law'Maisha yanahitaji umiliki vitu vitatu tu:-
Makazi -nyumba ya kuishi Usafiri- wa kukutoa sehemu moja kwenda kwingine Biashara- kitu cha kukuingizia kipato, iwe majengo, usafirishaji n.kNa wengi wanapambana kuajiriwa, kutafuta nafasi n.k ili tu kuweza kufanikisha hayo mambo makuu matatu.
Ukiyatafuta mengine zaidi ya hayo, ni kuuchosha mwili kwa vitu visivyokuwa na msingi; kwa sababu hata upambane vipi, hutokuja kumiliki 'private jet' wala 'train' kwa mazingira uliyopo.
Wengi mtatofautiana kwa ukubwa katika hayo maeneo matatu, lakini haitaathiri hivyo vitu vitatu.
Kwa hiyo kama umeshakamilisha hivyo vitu vitatu, unatakiwa utembee kifua mbele na usiangaike na mengineyo yatakayokuletea presha na kufa mapema.
Njooni kwa mjadala.
Ni mambo matatu.
1-Pesa
2-Mke.
3-Watoto
Kwa wakati ule, sasa mambo yamebadilikaWalisema zamani:Chakula,Mavazi na Malazi,Tokes happo sogelea"Man's law'
Kupanga ni kuchagua iyo ni mipango na machaguzi yako wacha kupangie wengne
Af pia ndg akunaga anaejua fomula ya maisha na kla mtu anafomula yake ya kutafta maisha na kuishi
Ivyo ni vipaumbele vyako ktk maisha yako wacha kutoa sili za maisha yako
Miliki pesa nyingi na dem mkali lkn tu asiwe mchaga😂😂😂😂Maisha yanahitaji umiliki vitu vitatu tu:-
Makazi -nyumba ya kuishi Usafiri- wa kukutoa sehemu moja kwenda kwingine Biashara- kitu cha kukuingizia kipato, iwe majengo, usafirishaji n.kNa wengi wanapambana kuajiriwa, kutafuta nafasi n.k ili tu kuweza kufanikisha hayo mambo makuu matatu.
Ukiyatafuta mengine zaidi ya hayo, ni kuuchosha mwili kwa vitu visivyokuwa na msingi; kwa sababu hata upambane vipi, hutokuja kumiliki 'private jet' wala 'train' kwa mazingira uliyopo.
Wengi mtatofautiana kwa ukubwa katika hayo maeneo matatu, lakini haitaathiri hivyo vitu vitatu.
Kwa hiyo kama umeshakamilisha hivyo vitu vitatu, unatakiwa utembee kifua mbele na usiangaike na mengineyo yatakayokuletea presha na kufa mapema.
Njooni kwa mjadala.
Cha muhimu hapo ni kimoja tuu, biasharaMaisha yanahitaji umiliki vitu vitatu tu:-
Makazi -nyumba ya kuishi Usafiri- wa kukutoa sehemu moja kwenda kwingine Biashara- kitu cha kukuingizia kipato, iwe majengo, usafirishaji n.kNa wengi wanapambana kuajiriwa, kutafuta nafasi n.k ili tu kuweza kufanikisha hayo mambo makuu matatu.
Ukiyatafuta mengine zaidi ya hayo, ni kuuchosha mwili kwa vitu visivyokuwa na msingi; kwa sababu hata upambane vipi, hutokuja kumiliki 'private jet' wala 'train' kwa mazingira uliyopo.
Wengi mtatofautiana kwa ukubwa katika hayo maeneo matatu, lakini haitaathiri hivyo vitu vitatu.
Kwa hiyo kama umeshakamilisha hivyo vitu vitatu, unatakiwa utembee kifua mbele na usiangaike na mengineyo yatakayokuletea presha na kufa mapema.
Njooni kwa mjadala.
Kuna Engineer mmoja wa kigeni alisema, ingekuwa huku ndio kwao, asingeajiriwa bali angejikita kwenye ufugaji na kilimo tu, akimaanisha bado kuna maeneo ya kutosha.Kwa nchi masikini kama Tanzania ni sawa ila kwa mataifa yaliyoendelea suala la nyumba au makazi ni tata.
Si rahisi kumiliki nyumba nchi zilizoendelea, nyumba wanazojenga wabongo huku kule hauigusi gharama ya ujenzi. Ni wachache sana wanaomiliki nyumba zao binafsi lakini wanaomiliki magari ni wengi.
Pesa bila kuwa na chanzo zinaisha, na kuwa na dem mkali ni sehemu ya matumizi 😀Miliki pesa nyingi na dem mkali lkn tu asiwe mchaga😂😂😂😂
Na ndicho kitakacholeta hivyo vyoteCha muhimu hapo ni kimoja tuu, biashara
Kaa hapo ukizubaaPesa bila kuwa na chanzo zinaisha, na kuwa na dem mkali ni sehemu ya matumizi 😀
Ajira inaweza kuwa chanzo cha kufanikisha hayo mambo matatu, lakini sio ya kufikiria kwa muda mrefu,sababu ajira ina mwisho.Sasa hapo si unge'summarize kwa kutaja;
Chanzo Cha Pesa (Biashara, kilimo, Ajira). Katika hiyo/hayo tunaweza kujenga Nyumba nzuri (Makazi) tunaweza kufanikisha gharama za Harusi na kupata Mke, lakini pia tunaweza kupata huduma au Mahitaji ya kijamii.
Hujaletwa duniani kwa ajili ya kuja kula na kuvaa nguo tu 😀 😀Tembea uchi sasa na usile uone .
🤣🤣Tunza kibundaHujaletwa duniani kwa ajili ya kuja kula na kuvaa nguo tu 😀 😀