Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #41
Asante kutukumbusha ya msingi. Safi.
Tupambane kupata ya msingi, yakipatikana basi hayo ya sekondari tunayaendwa mdogomdogo bila presha.
Isitokee mtu 'akapambana' kupata ya sekondari. Ni kukosa shukrani tu.
Halafu mnaotafuta pesa, ni wazo vague sana. Utaulizwa unatafuta sh ngapi ushindwe kujibu. Ukisema pesa mingi, pesa mingi wich!?? Pesa haina absolute scale ni always relative.
Bora anayetafuta gari au nyumba, at least ana lengo linalopimika.
Muhimu kuwa na kipimo tu; utakuta mtu ana kiasi fulani cha fedha cha kumuwezesha kila wkend kutembelea mbuga za wanyama, lakini anashindwa kwenda, anakwambia bado anatafuta hela; Je anataka kununua helicopter?