Maisha yanakuhitaji umiliki vitu vitatu tu

Muhimu kuwa na kipimo tu; utakuta mtu ana kiasi fulani cha fedha cha kumuwezesha kila wkend kutembelea mbuga za wanyama, lakini anashindwa kwenda, anakwambia bado anatafuta hela; Je anataka kununua helicopter?​
 
Mi naamini binadamu aliumbwa na Mungu, na wanyama wote na ndege waliumbwa na Mungu pia,
So Mungu hakuumba yai aliumba kuku then kuku akataga yai
Ko kuku ndo alianza
Kuamini kitu ambacho hakina uthibitisho wa kisayansi; hapo ndipo uwezo wa binadamu umefikia mwisho kufikiri; kuamini haimaanishi ni ukweli.
 
Kuamini kitu ambacho hakina uthibitisho wa kisayansi; hapo ndipo uwezo wa binadamu umefikia mwisho kufikiri; kuamini haimaanishi ni ukweli.
Basi we amini unachoamini, namimi niamini ninacho amini...

Au unasemaje comrade[emoji16][emoji16]
 
Vyote umepatia ila kimoja cha nne umesahau nacho ni Kupata mke mwenye bikra yake mbichi (OG)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…