Maisha yananikatisha tamaa sana

Na Ndio lengo la Maisha Kwa walio wengi Kukukatisha Tamaa,,na ndio maana waliofanikiwa ni wachache,,shukuru Kwa Machache Uliyobarikiwa kuna mwingine hiyo afya na nguvu ya kuandika Mitandaoni anaitafuta Kwa tochi Kwa maumivu makali na mateso ya ugonjwa na Unaweza kuta ni mwema mnoo kuliko wewe,,Ulimwengu una adhabu zake kwa kila kilichomo ndani Yake kila mmoja kwa nafasi ma wakati wake,, itakuchapa tuu ni wewe kuamua ikupe adhabu za mara kwa mara kama mwanafunzi mtukutu wa Ulimwengu,,au kuwa na Nidhamu kama mwanafunzi mtiifu wa Ulimwengu.###JipiganieMnoo,,Hakuna Mlimwengu,,Walimwengu wa KukupiganiaYanayokuhusuKamwe###
 
Mtoa mada nikiweka ushuhuda hapa utashangaa. Mm niliachaga kaz mwemyew ofis flan hiv nilisafa sio poa... na hapo nlikuwa na 24 tu kariakoo ile yote naijua mitaa. Na shida ya maisha watu hawataki watia huruma. Wewe hata kama shida yako ajira andika hata business proposal kubwa tu tembea nalo ofis z watu.. ukifika huko vimba kana kwamba hata GSM unataka wakutafute wewe waachie na business kadi kabisa

Zungukazunguka kwenye Maofis vimba ile yenyewe. Mam-d wemyewe watulize kwa mbwembwe. Ukikosa yote hata kiajira cha kiidara flani utapata tu kwnye hayo Maofis

Kuna mwanangu aliitumia hii teknik na alipata kikaz cha laki 4 pale mikochen
 
Acha wenge kijana
 
Hayo madogo umeshindwa makubwa utaweza kweli 😂😂😂
Kumaanisha umri huo umekata tamaa vibaya hvyo!!
Usilaumu ndugu coz nao wanamagumu yao, cha muhimu omba Mungu huku ukipambana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…