Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupi?Kuna mdau amerudi kwa kasi sana, hivi vyuo wameshamaliza mitihani ya semester sasa hivi wapo field?
Wewe na mimi kama ishirini na twenty an tupo hivi....)Yaani basi tu, nimetafuta kazi sijapata, marafiki wamenikimbia, ndugu nao wapo kimya, hata nikiomba mtaji wananikatalia.
Nahisi kuchoka, nahisi kukata tamaa. Kuna muda nikilala natamani kusipambazuke. Sina baba, sina mama sina babu sina bibi. Muda mwingine naona hata waliopumzika makaburini wana afadhali.
kwanza nina umri wa miaka 26. Yaani nachoka kabisa😢😢😢
Yupo Ruvuma, Mkoa wa MasasiYupi?
I seeYupo Ruvuma, Mkoa wa Masasi
Alafu uache Dhambi na kusambaza Dhambi, haya fumba Macho nikuombee na yale magroup yako ya telegram na WhatsApp yote ufuteI see
Hamna mtu wangu Wewe sio wa kuzugia kihivyo utakua umenielewa tofauti, Jamaa anatafuta wa kumuonea huruma hata hapa JF wadada wamama muzame PM mukamfute machoziKwasababu mimi ni wa kuzugia au sio
Sio wa kuzugia kihivyo, ni wa kuzugia kivipi?Hamna mtu wangu Wewe sio wa kuzugia kihivyo utakua umenielewa tofauti, Jamaa anatafuta wa kumuonea huruma hata hapa JF wadada wamama muzame PM mukamfute machozi
Huko PM hapafai. Machozi yatazidi kumtiririkaHamna mtu wangu Wewe sio wa kuzugia kihivyo utakua umenielewa tofauti, Jamaa anatafuta wa kumuonea huruma hata hapa JF wadada wamama muzame PM mukamfute machozi
Yaani basi tu, nimetafuta kazi sijapata, marafiki wamenikimbia, ndugu nao wapo kimya, hata nikiomba mtaji wananikatalia.
Nahisi kuchoka, nahisi kukata tamaa. Kuna muda nikilala natamani kusipambazuke. Sina baba, sina mama sina babu sina bibi. Muda mwingine naona hata waliopumzika makaburini wana afadhali.
kwanza nina umri wa miaka 26. Yaani nachoka kabisa😢😢😢
Kama unaweza soma na hiki kitabu mkuu....
Mtaji hauombwi, unatafutwa kijana. Kuna watu wa kuomba mitaji mkuu pambana utengeneze maisha yako usingoje vya kupewa kwa sababu havipo.hata nikiomba mtaji wananikatalia.
Uo umri ukiamua hufiki 30 ushauona utajiri, hujaamua.kwanza nina umri wa miaka 26
HakikaKomaa dogo,maisha ni kukomaa....wabeba zege si wajinga
Duuuuh umenishika kooni?Sio wa kuzugia kihivyo, ni wa kuzugia kivipi?
Amen. Na pia Mungu akupe moyo wa uvumilivu.Ubarikiwe sana mkuu