Maisha yananikatisha tamaa sana

Maisha yananikatisha tamaa sana

Yaani basi tu, nimetafuta kazi sijapata, marafiki wamenikimbia, ndugu nao wapo kimya, hata nikiomba mtaji wananikatalia.

Nahisi kuchoka, nahisi kukata tamaa. Kuna muda nikilala natamani kusipambazuke. Sina baba, sina mama sina babu sina bibi. Muda mwingine naona hata waliopumzika makaburini wana afadhali.

kwanza nina umri wa miaka 26. Yaani nachoka kabisa😢😢😢
Wewe na mimi kama ishirini na twenty an tupo hivi....)

Sema nini ujue tukaze tuu maisha haya haya aisee tukaze sana mkuu
 
Yaani basi tu, nimetafuta kazi sijapata, marafiki wamenikimbia, ndugu nao wapo kimya, hata nikiomba mtaji wananikatalia.

Nahisi kuchoka, nahisi kukata tamaa. Kuna muda nikilala natamani kusipambazuke. Sina baba, sina mama sina babu sina bibi. Muda mwingine naona hata waliopumzika makaburini wana afadhali.

kwanza nina umri wa miaka 26. Yaani nachoka kabisa😢😢😢

Aiseee pole sana ,i feel you my nikka ,tafuta mtu wa karibu umpitishe kwenye hali unayopitia hakika atakusaidia kuweza kupita kipindi hicho cha mpito.

Kila binadamu anapitia ups and downs mkuu ,vumilia yatapita tu cha msingi usikate tamaa ,pambana.
 
Back
Top Bottom