LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
nikivuka huu mwezi bila kulala kituo cha polisi sijui
tokea mwezi wa nne nimekuwa na mabalaa kwenye kazi yangu ya ufundi yaani hata sijui inatokeaje
kuna mteja aliniletea tv nch32 ilikuwa ya kubadilisha taa nikamchaji 60 sasa nikafanya kazi yake tu mapema nikampigia simu aje achukue akaniambia atakuja saa 2 usiku kuipitia
kufika huo muda akaja kutesti kuwasha kioo kimepasuka. kumbe wakati nimelaza kwenye meza kuna mteja alikuja kuegemea.
ikabidi nimuombe jamaa anipe wiki mbili nimtafutie tu tv ingine maana kioo kipya kupata ni kazi na wiki 2 zimeisha juzi akanitafuta nikamuomba tena aniongezee siku tano hivi ili kuna laptop niiuze niongezee hela nimnunulie tv yake sasa laptop nauza 150 ila wateja ndo kipengele mpaka mtandaoni imekuwa ngumu.
hivo kama kuna mtu humu atahitaji anitafute tufanye biashara kwani sitaki kufukishana mbali na huyu mteja
nipo arusha
0682773925
2core ram2gb dsk500gb inakaa na chaji 2hr haina shida yoyote
mwisho jumamosi kulipa deni la watu.