maisha yanazidi kuwa magumu kwangu

maisha yanazidi kuwa magumu kwangu

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
nikivuka huu mwezi bila kulala kituo cha polisi sijui

tokea mwezi wa nne nimekuwa na mabalaa kwenye kazi yangu ya ufundi yaani hata sijui inatokeaje

kuna mteja aliniletea tv nch32 ilikuwa ya kubadilisha taa nikamchaji 60 sasa nikafanya kazi yake tu mapema nikampigia simu aje achukue akaniambia atakuja saa 2 usiku kuipitia

kufika huo muda akaja kutesti kuwasha kioo kimepasuka. kumbe wakati nimelaza kwenye meza kuna mteja alikuja kuegemea.

ikabidi nimuombe jamaa anipe wiki mbili nimtafutie tu tv ingine maana kioo kipya kupata ni kazi na wiki 2 zimeisha juzi akanitafuta nikamuomba tena aniongezee siku tano hivi ili kuna laptop niiuze niongezee hela nimnunulie tv yake sasa laptop nauza 150 ila wateja ndo kipengele mpaka mtandaoni imekuwa ngumu.

hivo kama kuna mtu humu atahitaji anitafute tufanye biashara kwani sitaki kufukishana mbali na huyu mteja

nipo arusha

0682773925
20240514_204515.jpg
20240514_204451.jpg
2core ram2gb dsk500gb inakaa na chaji 2hr haina shida yoyote

mwisho jumamosi kulipa deni la watu.
 
Ukienda kariakoo vioo vya 32 vingi sana nenda asubuhi na mapema
Hata kwa 30000 unapata kwa wale jamaa wapigaji nyuma ya breweries
 
nikivuka huu mwezi bila kulala kituo cha polisi sijui

tokea mwezi wa nne nimekuwa na mabalaa kwenye kazi yangu ya ufundi yaani hata sijui inatokeaje

kuna mteja aliniletea tv nch32 ilikuwa ya kubadilisha taa nikamchaji 60 sasa nikafanya kazi yake tu mapema nikampigia simu aje achukue akaniambia atakuja saa 2 usiku kuipitia

kufika huo muda akaja kutesti kuwasha kioo kimepasuka. kumbe wakati nimelaza kwenye meza kuna mteja alikuja kuegemea.

ikabidi nimuombe jamaa anipe wiki mbili nimtafutie tu tv ingine maana kioo kipya kupata ni kazi na wiki 2 zimeisha juzi akanitafuta nikamuomba tena aniongezee siku tano hivi ili kuna laptop niiuze niongezee hela nimnunulie tv yake sasa laptop nauza 150 ila wateja ndo kipengele mpaka mtandaoni imekuwa ngumu.

hivo kama kuna mtu humu atahitaji anitafute tufanye biashara kwani sitaki kufukishana mbali na huyu mteja

nipo arusha

0682773925 View attachment 2991535View attachment 29915362core ram2gb dsk500gb inakaa na chaji 2hr haina shida yoyote

mwisho jumamosi kulipa deni la watu.
Pole sana kijana.
Unaonekana mpole sana, nimekupenda bure kwa uungwana wako wa kuingia hasara almradi tu ukamilishe jambo la mtu.
 
Pole sana na hongera, wachache sana wenye moyo kama huo.

Mkuu ule mpango wa kuitafuta M2+ ndani ya miezi 18, vipi unaendelea vizuri?
 
nikivuka huu mwezi bila kulala kituo cha polisi sijui

tokea mwezi wa nne nimekuwa na mabalaa kwenye kazi yangu ya ufundi yaani hata sijui inatokeaje

kuna mteja aliniletea tv nch32 ilikuwa ya kubadilisha taa nikamchaji 60 sasa nikafanya kazi yake tu mapema nikampigia simu aje achukue akaniambia atakuja saa 2 usiku kuipitia

kufika huo muda akaja kutesti kuwasha kioo kimepasuka. kumbe wakati nimelaza kwenye meza kuna mteja alikuja kuegemea.

ikabidi nimuombe jamaa anipe wiki mbili nimtafutie tu tv ingine maana kioo kipya kupata ni kazi na wiki 2 zimeisha juzi akanitafuta nikamuomba tena aniongezee siku tano hivi ili kuna laptop niiuze niongezee hela nimnunulie tv yake sasa laptop nauza 150 ila wateja ndo kipengele mpaka mtandaoni imekuwa ngumu.

hivo kama kuna mtu humu atahitaji anitafute tufanye biashara kwani sitaki kufukishana mbali na huyu mteja

nipo arusha

0682773925 View attachment 2991535View attachment 29915362core ram2gb dsk500gb inakaa na chaji 2hr haina shida yoyote

mwisho jumamosi kulipa deni la watu.
Pole Sana mkuu litakwisha mungu ni mwema
 
  • Thanks
Reactions: LA7
Hivi wewe unajua maana ya " maisha magumu" kweli?

Huko mtaani huna hata rafiki ambaye anaweza kukukopesha pesa ukalipe TV ya watu mkuu?
 
  • Thanks
Reactions: LA7
Back
Top Bottom