Maisha yangu baada ya miaka 37!

Asante sana sana
 
Namba 8 ni tatizo , hebu toa zaka ya 130000 Kwa Mungu alaf uone kama utakua unalia
 
Nini maana ya uzazi wa mpango?
 
Kodi ni laki tatu!!!!Kwa nini usipange vyumba 3@elfu 40kwa mwezi ulipe mia 20??
 
Huo ndio umri wa kutokufurahia maisha maana yote ufanyayo huoni kama unasonga ,

Jiwekee malengo madogo madogo na uhakikishe unatimiza unaweza kuanza na kwenda kanisani ukiona umefanikiwa unaweka lingine nimeanza na kanisani maana percentage kubwa hatuendi kanisani juu ya kwamba asbh tunaamka na hangover lakini ukijua kesho kanisani utalimit unywaji au hutakunywa kabisa

Kama kuna matatizo na mkeo suluhisha haraka sana migogoro ya ndoa inarudisha sana maendeleo ya familia

Tatu jitahidi sana kuishi according to your means 1.3 ni nyingi sana ukipangilia na ndogo sana usipoipangilia

Nawasilisha
 
Huo mshahara si mbaya, ukijipanga unatoka tu. Maximize muda wako kwenye maendeleo.
 
Kipato cha milioni 1 na laki 3 sio kidogo kwa maisha ya Kitanzania..

Zaidi ya 80 % wa raia .. hawafikii hicho kipato

Na wanajenga wanajibana wanamiliki hata passo

Jamaa siyo anakwama wapi?

Au ni wale wa Lete kma tulivyo?

Siku hizi hayo mambo ni ujinga
 
Huo mkopo ndo vituko kabisa sitaki hata kukumbuka. Nilikopa 36m. Hapo Hela ya LOAN BOARD ikakatwa. Nikabakiwa na 20. Ukiniuliza nilichofanya sijui... Iliisha kiutani utani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] kwakweli wewe ni changamoto kwenye jamii
 
kama ulikopa mil 20 ukazinyea bia unategemea nini? mchawi ni wewe mwenyewe kwanza una watoto wengi, usawa huu watoto wanne na umri wako 37 duh, umetisha. Pole sana komaa tu usife maana hicho kibarua na chenyewe kikiisha tu unaokota makopo hata wiki haifiki. mkeo mtafutie hata kimtaji cha kuuza hata maji tu na maandazi anaweza akakuokoa kwenye msongo maana kula ndio kunaleta stress kwenye majamaa yenye watoto wengi kama wewe. POLE sana.
 
Kazi gani hiyo unalipwa ujira Mdogo hivyo?

Tafuta Kazi ya maana au Biashara kubwa Stress zinasababishwa Na low income earning
Take home ya 1.3m ingawa siyo nyingi, lakini si haba. zaidi ya nusu ya waTZ hulipwa chini ya 0.5m. Nafikiri hapa uwe na mpangilio mkubwa wa saving. Weka lengo la kuweka angalao laki 3 ukitegemea kuzitumia kuzalisha baada ya miaka. Ukitunza laki 3, miaka miwili utakuwa 7.2m, angalia ni biashara gani mkeo anaweza kufanya na 7.2m.
 
Nitafungua kioksi soon...
 
Unaendeleaje ndugu yetu? Kumekuwa na ahueni yoyote kwenye maisha yako tangu post hii?

Mwenyezi Mungu aendelee kutuhudumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…