Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,688
Niaje wazeiyaaah...
Mko Bwaxx...
EBANA SAWA :
Ni jtatu saa tano asubuh Niko room (block D 204) tunaishi masela 8 (ingawa kuna vitanda 4). Niko peke yangu nachek ratiba sina pindi leo.. Aah afadhali (800 yangu ya kwenda campus na kurud nime save hapo). Nashika ndoo nashuka chini kukinga maji nioge then nifate RB kwa mpemba nigonge nishibe nipige desa. Namwona mshikaji anasoma UDBS anapita na demu cjui ni classmate wake (demu anang'aa nyuma wanaume na mindoo yetu tunaambulia harufu ya marashi mazuuri).
"Cjui wanaenda kudiscuss " najisemea moyoni..
Natimba bafun napiga maji (nawaza cjui nishtue kidogo!!!!) Aaah kuna masela kibao wamepanga folen mabafu mengne yamejaa maji machafu.... Ok natoka niwapishe na wengine.. Namwona mchizi (YULE wa UDBS anaingia na demu room kwake D203).
DAAAAAAH
Napiga mahesabu kwa mpemba niende na shngap nasikia miguno aaaaah ashhhhh frank uuushhhh
Daaah discussion imepamba moto room ya pili... Aaaaaaaah shhhhhhhh..
Kubabake wallahi.. Jamaa anafaidi...
Natoka na 1300 yangu mpaka kwa mpemba nachukua RB wakat narud na rambo yangu mkononi getini pale napishana na madem wanawahi shato waende campus (nashusha macho chini tuu Maana naweza kujikwaa) narud room.. Namwona jamaa anatoka anakafatia ka demu kiepe na soda pale cafeteria
ya ndan....
Nagonga zangu msosi, nawasha PC nafungua slide za MT271... Mawazo yananijia jinsi jamaa alivokua anamkaza classmate wake.... Aaah napanda kitandan nakiamsha kimoja cha fasta fasta nalala... Nashtuka saa tisa masela wawili wamerud kutoka campus.... Naamka nimechokaa kishenz kwa uchovu wa mechi binafsi.. Nashika tena ndoo bomban kisha bafun then room again...
Mwili unachangamka naanza kupiga desa vzuur...
Aisee Maisha ya Mabibo hostel nimepiga sana puchu wakat masela nawashuhudia wanakula madem tuu deilee...
#Chief Eng