Maisha yangu ya ndoa ni tofauti na nilivyoyatarajia

Maneno yanaumiza hisia kiukwel unachokisema ndyo uhalisia wa maisha ya sas
 
Badili jina. Jiite anza na siyo Kwisha.
 
umeongea kwa uchungu sana pole mkuu ndo ukubwa huo , jikaze!
Unajua kuna mwanaume akikupenda anajikuta tu hata kama hajajipanga anafosi akuoe bila kujali kuishi na mwanamke garama nyie anadhani utavumilia kulala njaa! Kupaka baby care na hujakaa vizuri unapigwa kata funua na mimba na mtoto 😅😅
KUoa sio kubaya! Ila mkiambiwa mjifikirie mara2 kwa kipato chenu mtaweza msije na majibu ntapambana tu! Oh tutabatikiwa tu! Matokeo yake ndo haya
 
Nakuelewa unachopitia pole sana
 
Pole sana mkuu, ni kweli ndoa ina changamoto zake, sio tu ukiwa na kipato cha chini hata ukiwa na kipato cha juu.

Lakini kwa kesi yako umejua kuwa ni kwa sababu ya kipato, basi jitahidi kuumiza akili ili upate namna ya kuongeza kipato, lakini zingatia usitafute bidii kwa ajili ya mwanamke, bali weka bidii katika kuhakikisha familia yako inapata hayo mahitaji muhimu, kwanini nimesema hivyo, ni katika hali hiyo wanawake wanakuwa wepesi kushawishika japo sio wote, yangu ni hayo tu
 
Mke wako anafanyakazi ama ni goli kipa? Yaani hajishughulishi na chochote anasubiri aletewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…