Niaje niaje.
Hii inagusa story muhimu kwenye maisha yangu halisi ingawa sitaingia ndani sana lakini nitagusa kidogo na code zitakuwa mubashara.
Picha linaanza niko chuo x ndio kwanza nimefika baada ya kujoin niko zangu reception nakutana na madam suzzy......naam tumpe jina la suzzy ndio nilimuangalia sana mpaka akajihisi tofauti.
So baada ya muda kidogo nikama alikuwa na wasi wasi hivi akaniuliza , samahani maddox naweza kukusaidia maana ni kama kuna kitu unapata nacho shida hivi ki ukweli hata sikuwa na jibu maana nilikuwa tu nimevurugwa huko board sasa nikawa kama siko sawa kidogo.
So akanipa ka ushauri fulani hivi na ikabidi nijiongeze kuomba bizness card maana nilihisi kama na yeye kuna kitu tu alikuwa anahisi kutoka kwangu. To cut the story.
Siku hiyo sikumtafuta hata maana nilikutana na pisi moja nikachukua namba nikasepa ghetto........nilikuwa nimechukua ghetto mitaa fulani ya mabibo uswahilini lakini palikuwa pako poa.
Jamani tutasameheana maana natumia simu kuandika ..........kwahiyo makosa ya uhandishi ni kawaida